Recent content by Hekaya za Abunuasi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

    Kim K, umepata pm yangu?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend ambaye atakuwa mume baadae

    Ni me ku Pi em tayari, mbona sijaona mrejesho?
  3. H

    JamiiForums Tanzania ACT Tanga hatumtambui Limbu

    Limbu, Mwenyekiti wetu ACT-Tanzania, Taifa tafadhali njo kwetu hapa njombe utufungulie tawi. Pia kuwa makin na Huyo Mzito Kabe na Mnyiramba Kitira kwan hao wamekuja kuangamiza Chama chetu cha Usalendo.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Emanuel Buhohela acha kumzushia Mh.Mnyika

    Kashachelewa saana, kwan mkuu ameshafanya final substations. Chamsingi yeye abakie tu na maadili ya utangazaji.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Hao Simba wamechukua wameweka waaaaa............ shangilia ushindi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Freeland Kwa hili viongozi wakatoliki mjitathimin, kama hamuwezi kumtumikia Mungu natural selection itafanya kazi. Haipendezi m wahusudu wenye mali wakati wasio na mali mnawatenga. Kwa Mungu watu wote ni sawa. Dhambi ya Tajiri msi ihalalishe.
  7. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ufafanuzi matatizo ya LUKU!

    Pole mkuu, ila wana kera saaana. Walitakiwa watoe taarifa mapema na sio kushitukiza kama walivyo fanya
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi kushabikia CCM,inaashiria nini?

    Mkuu umeshasema wasanii basi wengi wao ni usanii, pia baadhi yao shule ni ndogo wanakuwa hawajiamin wana ona bora wawe kwenye hicho chama ili waweze pata rizik
  9. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Those who are born from above long to be there. Death to a believer is the release from the imprisonment of this world and his departure is the enjoyment of another world. R. I. P Captain Komba
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Good point wenye akili watakuelewa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mtu kakutwa amefariki maeneo ya ARU

    Karibu mkuu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mtu kakutwa amefariki maeneo ya ARU

    Ipo Dar close to Mlimani City
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kajol Khan: Binti anayecheza, kula na kulala na Nyoka aina ya Cobra maisha yake yote

    She needs deliverance /God intervation
  14. H

    JamiiForums Tanzania Seheme Nzuri Dar ambapo unaweza kupumzika na kupunga upepo

    Nenda Jangwan Sea Breeze.
Back
Top Bottom