Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
wakihojiwa na ITV wakazi wa manzese kutoka jimbo la Ubungo wamelalamia utendaji mbovu kupita kiasi wa mbubge john mnyika. ""tangia mvua hii inyeshe ni mate so maji yamejaa ndani kwa kuwa hakuna mitaro ya maji na mbunge hajawahi kuja eneo hili kutatua kero hii tutamwadhiby 2015."" aliisika mmoja akise.ma.
jimbo la Ubungo Lina shida kubwa ya maji sass no mwez maji hamna, barabara ni mbovu yani mnyika is very weak.. leader
Itafika mahali hata kuchimba vyoo vyetu tutahitaji Mbunge.Kua kidogo basi.Mnyika amefanya makubwa kuliko unavyodhani.Kuna vitu tunahitaji uwepo wa Mbunge,jamani hata mifereji ambayo kwa asilimi 100 ni uchafu tunaouzalisha mitaani kwetu tunatupa kwenye hiyo mifereji