Mtu kakutwa amefariki maeneo ya ARU

Mtu kakutwa amefariki maeneo ya ARU

Kinachoumiza mno ni kwamba ndugu jamaa marafiki familia na wapendwa wake hawajui kuwa ndugu yao tayari hayupo duniani na kafa kifo cha mateso! Dunia hii ioneni hivi hivi ina maumivu ya kila namna
Imeandikwa Duniani kuna dhiki...
Lakini jipani moyo
Kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu
 
avatar18566_7.gif

Ipo Dar close to Mlimani City
 
Mauaji mengi ni kwa ajili ya pesa, eneo la Savei darajani kuja ARU nyakati za usiku sio salama.
 
Back
Top Bottom