Recent content by HEGUYE

  1. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

    Sema haya ma pimbi ya Patrice
  2. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

    Sio udom tu kuna wataalam wa kukimbia wenzao kwenye migomo mzumbe...
  3. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

    Du poleni sana....ila uwezekano wa kuwarudisha upo kwa nyie mliobaki kupitia silidarity..
  4. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Muhongo: Mimi Bado Waziri!

    Hana lolote kwishinea...
  5. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    thank u na mengi ni ukweli......
  6. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mbona mnamtetea kiongozi wa CCM?

    siasa za bongo ni sawa sawa na hadithi za kufikilika yaani hazina uhakika ni za msimu na msimu kama vile wamelogwa...
  7. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    hatuhitaji muundo wa serikali kwa sasa...tunahitaji wawajibikaji kwa wananchi...
  8. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania BASATA kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa kudanganya umri

    Sio tu kila cku wanasiasa ndio wawajibike leo tunataka sitti mtemvu awajibike kwa kujiudhuru umiss tz...hivi tunapo ongea hivi ile hela kama zawadi alishapewa???kwa maana wa bongo hawachelewi kuzipiga..
  9. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

    Laa...pesa pesa...wanasema pata pesa tukujue tabia yako...sasa huyo ndio diamond.
  10. HEGUYE

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania Kimenuka

    Sawa lkn hili liwe somo kwa wa tz kwani wengi ndio tabia zetu wa tz...
Back
Top Bottom