Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Wala kawa expnsive chezea diamond kila ikipigwa nyimbo yake ni milioni 10 chezea wa kimataifa wewe!!!!
 
Nilitaka kusema yawezekana diamond ameweka masharti mapya! Ambapo wa tz wengi wakiwemo wasanii hatuna ujuzi nao! Radio station ikipiga wimbo wako lazima msaniii ulipwe kama ambavyo ulipwa stejini! Chezea intanashional star
 
Bangi za kuvutia chooni hizi, Domo ndio anawalipa redio presenter ili wampe airtime ya kutosha.
 
Bora aiseee clouds mbwa gani banaaaa

nyie semeni clouds mbwa gani
ngoja wasipige kweli nyimbo zake ndo mtajua km ni mbwa au nguruwe ktk tasnia ya mziki hapa bongo
mi yangu macho na maskio tu
tz hii ukitaka jina pigia magoti ruge unless imekula kwako mkubali mkatae
labds efm nao wajipange kweli kuja kuwapoteza and it will take time
 
Bangi za kuvutia chooni hizi, Domo ndio anawalipa redio presenter ili wampe airtime ya kutosha.

Ulisha wah kujiuliza kwanin radio za kenya mara nying wanapenda kupiga nyimbo za tz? unapo piga nyimbo zao hcho kituo cha radio ndiyo kinamlipa msanii na siyo msanii kulipia station ya radio!

hutaki acha sirudi tena
 
Kenya ipi unayoisema wewe na ni Redio station ipi? Tanzania hii hii nenda Shirati kama utasikia nyimbo za Tanzania hata kwenye madisco yao ndio sembuse uingie Kisumu uwapigie nyimbo za Tanzania redioni? Aliyekudanganya kamwambie JF nimekwama watu ni kama majini wanajuwa kila kitu.
 
Kwa vile anajua mziki asimame kwa miguu yake tu atafka mbona Jide nyimbo zake hazipigwi na clouds still ana shine acheni kuwaandama clouds

Hawataki kuamini kua kitorondo kimechokwa habari ya mujini ni mwana....na watalia sana subiri video itoke
 
Ina maana hao craus mimi hawakunipa mgao wangu!
Kwa sababu hata mimi nilimzomea dimondi tena kwa mapenzi yangu mwenyewe na si kwa kushinikizwa na mtu,
ingawa huwa sisikilizi redio lakini kwa hili team lidomo mnatafuta mchawi tu ilhali mchawi ni ndomo mwenyewe na si redio mawingu.

Ndio uamini sasa hakuna mtu aliyelipwa....
 
Mimi redio sisikilizi lakini kwenye tv mbona wanapiga kitorondo jamani???nimekiona kama mara 2 hivi baada ya fiesta...au clouds tv sio ya ruge na kusaga?
 
Uzuri wake craus na yenyewe inazidi kunyauka hapa dar siku hadi siku na mnyaushaji mkuu ni EFM.
Mwakani craus itakuwa ya nje ya dar tu maarufu kama mikoani.
 
Uzuri wake craus na yenyewe inazidi kunyauka hapa dar siku hadi siku na mnyaushaji mkuu ni EFM.
Mwakani craus itakuwa ya nje ya dar tu maarufu kama mikoani.

Mwandiko wako haufuchiki............,

hiyo Efm wanajitahidi..kuna yule Mkude Simba na vichekesho vyake
 
Back
Top Bottom