Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Ukifanya vitendo vya kihuni wakati unatakiwa kujiheshimu, uitweje kama siyo "mhuni!!!?"
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
spika dhaif mjengo dhaif jiwe dhaif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki wewe

Speaker yuko very much concerned na utoro wa wabubge lakini speaker hatujamsikia hata akiulizia kukamatwa wabunge wa upinzani.Lijuakali amekaa rumande,hatukusikia speaker kuhoji.
Speaker aonyeshe kuwa anawamiliki wabunge wakati wa raha na shida.
Mungu ni Mwema,YATAPITA
 
Mwenzako analamba zaidi ya milioni kumi kwa mwezi wewe unamwita kapoteza matumaini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Money is not everything my friend, na huwezi jua mimi niandikaye kipato changu kipoje. Have you ever seen a millionaire or billionaire committing suicide just because he/she has lost respect to the society? Ulaya matajiri hujiua sio kwa kukosa pesa bali heshima kwa jamii. Huyo utamwitaje, hajapoteza matumaini? Read between the lines and think outside pandora box. Mwalimu Nyerere hakupigania uhuru kwasababu hakua na mshahara mzuri bali alikosa matumaini na serikali ya wakoloni. So don’t think money is everything my friend
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
HEBU TUELEZE LIJUALIKALI ALITAMKA MANENO GANI
 
Ulitakiwa kumpongeza sababu haya tunayosema sisi watanzania off line ndio balaa kama akiitwa muhuni anaadhibu basi wengine wanatakiwa kunyongwa kabisa.

Uhuni ni matendo anayofanya sasa kama kamuhukumu kihuni/kisela Nasari ulitegemea ataitwa muungwana bila kuwa na matendo ya kiungwana.
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hajakosea ........ ila Tatizo ni kuwa kasemea nchi tofauti ambako uhuru wa mawazo hauheshimiwi!!

Ila huyu bwana alishasoteshwa jela miezi kadhaa ..... sasa sijui Ndugai itakuja na adhabu gani ambayo itakuwa kali zaidi ya jela miezi 5!!
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?

Hebu weka video ili tumtazame na kumsikiliza wenyewe....

Kufanya jambo/mambo ama kuchukua maamuzi ya kihuni maana yake ni nini?
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Utatumiaje neno la staha kwa mtu au ofisi isiyokuwa na staha? Kwani kilichofanyika kwa Nassari sio uhuni? Hii ndiyo dawa yao. Kwanini apoteze muda kufikiria adhabu au hatua ya kuchukua, afukuze na huyu.
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Ni Wahuni tu.
 
ukijiheshimu utaeshimika,usipojieshimu matokeo yake ndio haya
 
Back
Top Bottom