Kweli kabisa . Ukawa wakiongozwa na Mbowe wameingizwa choo cha kike
Muhongo atabaki kuwa waziri, ndio ukweli huo!
Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi
Uongozi na maadili bado ni kitu kingine kabisa.
Uprofesa ni ualimu na kufanya tafiti nyingi zinazokubalika katika somo lako au around somo lako na kusimamia wanafunzi wake ki-academic.
Halafu baada ya muda maprofesa wenzio wanakaa kikao maalumu kwa ajili ya mtu kupewa uprofesa usu au uprofesa kamili.
Uadilifuuuuuuuuu.............siyo uprofesa.
Nyinyi watanzania mtaendelea kuwa wajinga sana,sasa kila mmoja anajua pesa ndo imetumiwa kuwaondoa hawa watu alafu mnashabikia wakati huohuo mnataka waje watu wasafi,watatoka wapi na wakati pesa ndo inatumika? na ukishatumia pesa unawezaje kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu
Ni kweli.....Rais ameshauriwa na anaweza kukubali au kukataa
Muhongo atabaki kuwa waziri, ndio ukweli huo!
Kila atakaekutana na Prof Muongo amkumbushe kuwa pesa zetu tunazitaka.