Mwigamba alipigwa tofali na lema kwenye kikao cha kamati kuu kwanini hamkumtetea?...cdm inakutetea hata wewe lkn kwakuwa haujimbui si rais kuliona hilo...
U Ccm unakua kama tusi sasa!
Hili swala la katiba ya nchi yetu mnaliona la kisiasa zaidi. Hivi hilo lichama linawafanya nini wanaume wazima!?
Kweli maslahi ya chama cha siasa kije kabla ya maslahi ya nchi!
Kwanza ujitambue wewe ndiye muathirika wa kwanza wa sera za ccm za kutunza ujinga kama mtaji wake mkuu.
Elewa kuna tofauti kubwa sana kati ya vyama na taifa jambo ambalo hata miungu yako wameshindwa kulifahamu ama wanachanganya makusudi kwa kujua kuna watu kama wewe ambao hawawezi kuelewa.
Unapaswa kujua ni kwa kiwango gani CHADEMA kiko juu kwenye masuala yanayogusa taifa na kwamba ni chama makini, chenye uelewa, kuwezo na utashi wa kuthamini na kutumia raslimali zote zilizopo nchini kwa maendeleo ya taifa. Tofauti na ccm ambao wako tayari kuua si intellectual abilities tu bali hata kuondoa uhai wa mtu kwa maslahi ya chama chao.
CHADEMA haiko kama ccm inayokataa kila jambo jema likitoka upinzani na kukumbatia hata mavi maadamu yatoke ccm.
Mdahalo wa jana wala haukuwa wa CDM, ulikuwa ni mkutano huru usiofungamana na chama chochote cha siasa zaidi ya kuangalia mustakabari wa Tanzania. CHADEMA imeingiaje hapa?
Funguka macho kijana. Ccm wanakuzika huku unapumua. Kalaghabahu.
Grow up or go back to kindergarten; hapa sio swala la uhusiano bali logic na common sense! the stupid psychophants and zealots had no good reason to do what they did! kama walikuwa hawapendi maudhui ya mdahalo kwa nini waende pale kufanya fujo badala ya kwenda kujidunga viroba huko Manzese; where they belong!!
Kwa vile ninavyowafahamu, Chadema hawaangalii itikadi za vyama. Wanaangalia issue. Hii ni tofauti na CCM ambao wao wanaangalia maslahi finyu ya chama chao. Hoja ikiwa nzuri hata kama inatoka CCM wataiunga. Tatizo ni kwamba sijawahi kuona hoja nzito yoyote kutoka CCM. Upo hapo Ghosryder?
Mwigamba alipigwa tofali na lema kwenye kikao cha kamati kuu kwanini hamkumtetea?
Kipi hujakielewa mkuu!
Waziri mkuu mstaafu.
Yaani haya ma-mburula kama hili lileta mada ndo huwa natamani niyakamate halafu niyaingizie li-jitu ma.ta.ko.ni! Eti kuna ubaya gani kumtetea Mzee Warioba kama kiongozi mwenye heshima katika Taifa hili? She.nzy type kabisa mleta mada!!