Recent content by hee-wewe

  1. hee-wewe

    Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

    wewe ndugu yangu sikia nikwambie mapenzi siyo pesa, angali mtu anayekuja, unaweza angalia pesa na usiwe na furaha katika ndoa yako, acha kabisa hiyo tabia, na kwa ushauri mwombe sana Mungu akupe mume mwema, kwani yaweza kuwa kati yao hakuna hata mmoja aliye wakwako,,, kaa na Mungu vizuri maana...
  2. hee-wewe

    Kaniomba mwenyewe

    dar huyo kiboko, sasa alikushirikisha ya nini? urafiki mwingine bwana? pole sana ndugu
  3. hee-wewe

    Sitaki tena sitaki...

    hahahah leo umekomeshwa pole
  4. hee-wewe

    Rostam Aziz: Dr. Slaa hatari kwa Taifa...............

    hakana jambo lisilo na mwisho
  5. hee-wewe

    Hapa kosa langu nini????????

    unajua kuna watu hawawezi kuvumilia vituko vya mtu, ukizingatia kama bado hamjaowana, ndio kabisaa? then nivizuri ungejaribu kufuatilia ni kwa nini mambo hayo yanakutokea, ukizingatia wewe ni mtumishi wa Mungu pia nadhani ukitulia na Mungu atakupa jibu sahihi, na atakupa aliye wakwako. acha...
  6. hee-wewe

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Mungu ni mwamuzi wa jambo hili,,, kwani ccm wametunyanyasa sana, tunaishia umaskini wakutembea bila viatu,, hakika mwisho umefika Mungu isaidie chadema na viongozi wake walioona umaskini wa watanzania, amen tuko kwenye maombi tukiwaombea viongozi wetu
  7. hee-wewe

    Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

    Asante Yesu, kwa kutusaidia ushindi mwanza,, tuko pamoja na viongozi wa chadema kwa maombi na dua zote, kuleta mabadiliko tanzania
  8. hee-wewe

    Matani

    hahahahahahah
  9. hee-wewe

    Je Kesho atasema nini huyu mtoto?

    ccm ife kabisa
  10. hee-wewe

    Mwingine auwawa Iringa

    jamani wamemuuwa kikatili sana
  11. hee-wewe

    Zembwela na Mizengwe

    he!
Back
Top Bottom