Recent content by Hayati

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wanaume!!

    Hou make sure that someone love u.because u cant able to see in the heart.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake?

    Sio sahihi kwani daktari pia ni binadamu hivyo anashikwa na hisia km mtu wa kawaida.hivyo kumzua asimpende mtu kwa sababu ni mgonjwa wake ni kuingilia uhuru wa mapenzi.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kama unauhakika wa kupata maziwa ya nini kufuga ng'ombe?

    Inategemea na maziwa wenyewe kama hutiwa maji bora kufuga ng'ombe upate maziwa bora kwa afya yk
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

    Mke ni zaidi ya rafiki na pia zaidi ya ndugu na ndio maana watu wanawapenda zaidi wake zao kuliko ndugu na marafiki
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

    Mke ni zaidi ya rafiki na pia zaidi ya ndugu na ndio maana watu wanawapenda zaidi wake zao kuliko ndugu na marafiki
  6. H

    JamiiForums Tanzania "Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

    Nadhani huyo mwanamke si mkweli kama kaweza kumficha hilo anaweza akamletea mtoto si wake
  7. H

    JamiiForums Tanzania "Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

    Nadhani huyo mwanamke si mkweli kama kaweza kumficha hilo anaweza akamletea mtoto si wake
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

    angalia usiangushe ukuta kwa kutegemea chupa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mjamzito bila condom ni sawa?

    dah mengine makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.yanazidi kimo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameamua kuokoka hataki mambo ya zamani -nifanyeje

    achana naye kwan wazuri hawaishi kila siku wanazaliwa upyas
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tanzia tanzia

    Poleni kwa msiba mungu awape uvumulivu na amani ktk kipindi hiki kigumu
  12. H

    JamiiForums Tanzania That Piece of meat

    Wowooo.ilike it
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mweeeeeee!

    Eh kumbe tunahangaika kwa umeme bure km tatizo ni maji kwanini asikodiwe huyu mshkaji?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Harusini

    Hehehe na mateja je walikuwa ktk hali gani hii
  15. H

    JamiiForums Tanzania Jamanii nisaidieni

    Subiri bro mpaka upate ndoa
Back
Top Bottom