Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Mhhh...hii kalimke ni adui mnaelala kitanda kimoja
Mhhh...hii kalimke ni adui mnaelala kitanda kimoja
<br />mke ni shetani na hasitahili kumwmini hata siku mmoja maana ukimwamini anaona umekuwa bwenge ukimfanyia jambo zuri anaharibu, hizi ni dalili tosha za ibilisi
nauliza hili swali ili nipate kuelewa.
<br />Mke ni sabutimke ni matatizomke ni swaluamke ni jikomke ni pambomke ni chombo cha jikonimke ni jasiri kidogo mke ni mwikomke ni jalalamke ni fimbo ya mbalimke ni mkekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
<br />Hakuna jibu mke si rafiki wala ndugu!
<br />Ananoishangaza sana huyu ndugu, rafiki adui. Kila siku ananibadilishia waganga ili niwe zezeta bin mume *****
we! Acha hiyo!mke ni pepo mchafu
lakini hata ngugu wa damu wanafarakana.mke/mme c rafiki wala ndugu yako, bali ni adui yako mnayeshare interest na kulala naye kitanda kimoja.
Ukitaka kuprove cheki wakikamatana ugoni.
Really for suremore than friend na ndugu nyie mnakuwa soulmate, ndugu au rafiki hawezi kuwa soulmate