"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Wewe unaweza kuwa ni mwanaume..[/B]na kama ni mwanamke,dada haya uyaongeayo(ndani ya chupi ya men) ni sumu mbaya mbele ya m'me..

kwaiyo yasiongelewe kwa kuwa yanamuhusu MWANAUME?

yap mi ni mwwanaume..UNASEMAJE BIBIE?....lunch?drink o smthng?any where u wan....NAKUSUBIRI

Binafsi nina wasiwasi na huyu mwanamke!naona atakuwa na tabia ya ukatiri na ubabe!Kwa nini hakuweza kutafuta mbinu za kufuta hizo tatoo kabla ya kukutana na mme mpya.kwa nini asingemfahamisha mme mpya haabari hizo mapema! Huyu mama ni mbabe, namshauri jamaa aendee naye lakini naye ajifunze ubabe ili mama aweze kuwa mpe jamaa angeapply ubabe mapema lazima angekula tunda kabla na yote angeyagundua mapema. asingemfahamisha

Uko sawa kabisa. Kuna watu ni selfish sana. Nina dada yangu kaolewa na mume kumbe mume ana BP ambayo ni very serious. Wamekuwa wachumba for more than a year lakini jamaa hajawahi kumwambia. Amekuja kumwambia baada ya kuoana. Dada alikasirika sana. Ila they are still together. Unajua hata makanisa yanakubali kuvunja ndoa za watu wanaoficha siri hasa za magonjwa. Wewe sema mtu akupende hivyo hivyo. Kutokusema kunafanya mtu ambaye hata kama alikuwa ni wa kukubali matokeo achukie kuwa una tabia za umimi.

km angeshirikishwa tatizo toka mwanzo poa....lakin kwa swaga izi za kuuziana mbuzi kwenye gunia afu uambiwe NIVUMILIE APANA..asi alijifanya mjanja?
yaan unatafuta aman vtan?
au vta vtan?

ANGESEMA MAPEMA ....MTU UNAAMUA kwa mapenz yako..ahh poa ntamvumilia lakin hiii ya nimekuja kugundua afu ndo beb nipe mda ahh wap..NINGEMTOA NDUKI ATA NGEKUA MIMI..KANIONAJE?
AS ALIJUA NI TATIZO NDO MAANA AKUNAMBIA MAPEMA..ahh we apa akuna excuse ni seeeeeeeeeeeepa mazima!!!!

Duh inachekesha lakini pia inasikitisha sana na dhani kama jamaa inamsumbuwa moyo na bado hawaja zaa mtoto avunje ndoa tu, maana akijidanganya kuendelea naye kwa shingo upande huko mbeleni itakuwa shida zaidi na shida kubwa kuliko hiyo ya kuonyeshwa tatoo; ajabu wewe umesema jina la tatoo hapa, means lazima wataeleweka bayana maana wanaomjuwa huyo juwaa ANGO na Binti Bikira lazima watakuwepo.

Kinachonipa tabu hapa ni kama kweli tatoo ilipachikwa katika harakati za umalaya au baada ya kubikiriwa labda dada zangu watanisaidia kwa experience yangu mwanaume ukimbiri binti ni nadra sana binti kuwa karibu na wewe tena kiasi cha kumchora tatoo labda kama mimi sikupata bahati hiyo maana wakati wetu ulikuwa unaishia kukimbia na kutoroka hata hivyo binti naye alikuwa anakuona hufai na kukukacha mara kwa mara hata sijui wala si kumbuki kama angekupa tena paja uchore tatoo labda baada ya kukubuu katika fani

Kama haifutiki itamuumiza sana jamaa maishani mwake. Ajitahid aitoe. Kumuacha sio perfect maana ameshaoa. Lakini kwa wale hawajaoa, epukeni wapenzi wanaoficha sana uchi kabla ndoa...

Hiloo nalo neno kabisaaa.

Kinachonipa tabu hapa ni kama kweli tatoo ilipachikwa katika harakati za umalaya au baada ya kubikiriwa

Hivi kwani kufanya tendo la ndoa ni umalaya?hayo siyo maneno mawili tofauti au naomba kueleweshwa tafadhali.

duhh!!!

lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

Uuuuuuwiii mbavu zanguuu! Wee dada umepinda, khaaa

hapo hakuna haja ya kutoa, hata kama ukitoa pajani lakini jamaa tayari kashauteka moyo wa binti.
Huyo binti hampendi huyo jamaa, angekuwa anampenda asingeweza kwenda na tatoo kwa mumewe
Cha muhimu hapo ni kumwagana tu.

AMamekubali vp nunua mbuzi kwenye gunia.... wengine mpaka tuahakikishe mtoto kabeba mimba ndo twatangaza ndoa... Nampa pole sana

Mke au mume mwema hutoka kwa Mungu so hata wakiachana they were not made for each other, and all u have to understand that everything in this world of sin happens for a reason.

Mimi nafikiri at 1st the girl was naive as to aggree to have that tattoo! Najua ilimsumbua n maybe she didn't know what to do zaidi ya kusubiri wafunge kitanzi! Jamaa apime mapenzi ya mkewe kwake, Kama gauge ipo juu, waifute hiyo tattoo ili waishi happily ever after; la kama mapenzi ni ya kibaba then achukue uamuzi mwingine!

Ujinga wake ni kufikiri he was the first love! Otherwise kumpenda mtu mwingine na kuend up with another person ni kitu common sana!

Maskini,ndio maana alishindwa kumpa akijua ataona tatoo hiyo,ngoja nikwambie mie nikiwa na miaka 19 niisafiri kwenda ulaya kwa mara ya kwanza nikakaa na cousine wangu matata sana, akanishauri nikaweka tatoo mguuni,baasi nikarudi, nikaendelea na mambo ya shule hapa bongo si nikamaliza!

Nilipotaka kuanza kazi nikaambiwa tatoo lazima itoke, duh, kuna kaka mmoja akaniambia nichikue kiwembe au sindano au bikari,nichomechome ile sehemu kisha nipake maziwa ya ngombe fresh si nikafanya, kweli kuja kupona tatoo ikawa inafifia mpaka leo imepotea kabisa,sasa sijui huyo yake ikoje,ajaribu at her own risk
Wana jamvi, msaada tutani.

Ni rafiki wangu wa karibu sana. Aliamua kunifuata kwenye chama cha wanandoa hivi karibuni kwa kufunga ndoa iliyoambatana na h
arusi iliyofana sana hapahapa jijini. <br /

Bahati nzuri au mbaya, hakuwahi fanya mapenzi na mke wake huyu kabla hawajafunga ndoa. Anadai kila alipoomba tunda demu alikataa, hii ikamfanya amwamini sana huyu demu na hivyo kujitosa kuoa kabisa.

Sasa shida imeanzia honeymoon. Jamaa kaona tattoo kwenye paja la kulia la mkewe ikiwa imeandikwa I ikifuatiwa na alama ya moyo na mbele yake kuna jina ANGO. Mke alipoulizwa kadai alipigwa chapa na jamaa aitwaye ANGO ambaye ndiye alimtoa bikira.

Rafiki inamsumbua sana, hasa wanapokuwa wakicheza ngoma. Nimemshauri kwa kuwa ana kipato kizuri wakatoe tattoo, ila nahisi ana kinyongo maana analalama kwanini hakuambiwa mapema na demu huyu zaidi ya kunyimwa kumega pale alipohitaji. Sijui nimsaidieje rafiki yangu...

Updates 31/07/2011

Leo jioni wameenda kwa kiongozi wa kiroho aliyefungisha ndoa ili kupata ushauri. Rafiki kanidokeza yupo tayari kuishi bila mke (maana dini yake hairuhusu kuacha ukishaoa). Sijui yaliyojiri huko. Bado namsihi asimwache mke.

Back
Top Bottom