Mjamzito bila condom ni sawa?

Dah maswali mengine jamani duh!! Huyo jamaa ndo mara ya kwanza kumpa mkewe mimba eeenh!
 
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha

ana tatizo lingne uyo.
mwone daktar fastaaaaaaaaaaaa....usije ukawa unamtia makonz mtoto kwa ndan bila kujua ndo mana bibie anaona uchungu....kidng banaa...BT MCHEK DAKTAR..SEX NA MIMBA AVNA UHUSIANO
 
Wana Jf habare za wiki end ninaomba msaada wetu tafaradh mana leo hasubuh hasubuh nimepokea simu ya mshikaji wangu au best yangu akiniuliza eti hajafanya makosa kufanyanae mapenz mke wake bila kutumia condom mana mkewe ni mjamzito wa miezi minne sasa. Na miezi yote ya nyuma alikuwa anatumia condom katika tendo je? Kufanya hvyo hajafanya makosa. Ushauri wenu tafadhar mana hata mm nimeshindwa kumjibu vizur mana ninasikiaga mkeo akiwa mjamzito kunakuwa na hili mara lile hebu msaada wenu tafadhar?

Mwambie agonge kavu kavu tu haina shida yeyote..
 
haina uhusiano kabisa,labda kama anahisi yeye si mwaminifu asije mwambukiza mkewe infections, maana maradhi mengine ya maambukizi yanaweza mfanya mtoto toke kipofu, ila kama anajijua ni maminifu haina neno kabisa
 
Ni sawa kabisa, last sunday BBC-Kimaso maso hili swali liliulizwa na kuzua mjadala ambao utaendelea kesho pia! Dr. mmoja toka Nairobi alisema haina tatizo kwa kuwa mtoto huwa salama tena ktk ulinzi mkali sana! Akasema mjamzito huweza kufanya mapenzi toka mwenzi wa 1-9 bt azingatie mikao, alishauri wanaume kutokulewa pombe na kufanya mapenzi na wajawazito (wake zao) kwa miezi mi'3 ya mwanzo. So kondom haina madhara kama nyie wote afya zenu ni salama!
 
Back
Top Bottom