Recent content by Hawkins

  1. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

    Ni kweli anatakiwa kuwa mkweli kwa mke wake hilo moja pia anatakiwa aisha na mke wake kwa AKILI. Mke hatakiwi afahamu kila kitu afanyacho mume wake.
  2. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Ukitaka amani chukua LG.
  3. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Kwa ubabe huu ni hatari!

    Kawaida sana.
  4. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoka India akatwa mkono Saudia Arabia

    Wote wako hovyo acha kutetea
  5. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Wachawi waanguka baada ya ndege zao kuishiwa mafuta huko Tanga!

    Na wapigwe tu.
  6. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake asilimia kubwa huwa hawanuki midomo?

    Ni kweli.
  7. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli

    Inzi ni kwa ajili ya uchafu na sio usafi, hicho atakachotengeneza ni kinyesi na sio asali.
  8. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Jirani aamka na kujikuta yuko juu ya bati

    Juzi Mikumi leo juu ya bati sijui kesho wapi!!
  9. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu na nyota wana uwezo wa kumfutia mtu dhambi na kumpa baraka ila hawajijui

    Tatizo ni viroba ama kuna dunia nyingine wanakotoka binadamu kama huyu? Eti Diamond, Kanumba kumfutia mtu dhambi!! Hivi Mirembe ilishafungwa?
  10. Hawkins

    JamiiForums Tanzania MSAADA:- Maana ya neno "SMARTPHONE" kwa Kiswahili

    Simu yenye akili.
  11. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Ni sehemu ya ibada.
  12. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Ndugu asitutishe bhana hata bata ana mbegu hivyo inawezekana ikawa mbegu za bata.
  13. Hawkins

    JamiiForums Tanzania Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Hiki nini tena??? Hapa si sehemu yake peleka fb.
Back
Top Bottom