RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,508
- 135,546
mkuu imetokea mitaa ya keko mwanga
We jamaa kwa uongoo kesho unakuja na movie gani
huyu ni wewe??
![]()
Wewe sio lukelo sakafu kweli
mkuu huyo atakua faiza foxy
Huyu mtoa mada atakuwa ni lukelo sakafu tu
Jumatatu wazungu wanaiita Blue Monday....Kibongo bongo siku ya bluu au?????
jamani ama kweli wachawi ni balaa, jirani yangu jana usiku alilala ndani ya nyumba yake lakini leo alfajiri amejikuta kalala juu ya bati la nyumba,tena akiwa na mashuka yake. ikabidi tufanyi jitihada za kumshusha chini,lakini jamaa anaonekana ana akili zake timamu kabisa kwa sasa jamaa amebakia home akitafakari ilikuaje ameamkia juu ya bati?
Juzi Mikumi leo juu ya bati sijui kesho wapi!!