MpiganiaUhuru fanyia kazi ushauri huu. Una ukweli mwingi, unless awe anapata messege kutoka line zote (in case una line zaidi ya moja).Kuhack simu bila kupata simu yako ningumu sana,labda mkeo nae kama anakabuzi kampuni moja ya simu ambako ndio kanampa taarifa zote,ivyo nimoja ya kutafuta njia ya kuachana na wewe sasa kajamaa kanajitahid kumpa hiyo miamala na text ili ajue pa kuanzia
Ni kweli anatakiwa kuwa mkweli kwa mke wake hilo moja pia anatakiwa aisha na mke wake kwa AKILI. Mke hatakiwi afahamu kila kitu afanyacho mume wake.Acha kupaniki we dogo.
Wewe kuwa mkweli na mwaminifu tu kwa mkeo [alimradi na yeye awe hivyo] na haya matatizo hayatakutokea.
Mkeo Ana bahati Sana ya kuwa na mume aliyetoka nje ya mkoa ule ambao wanaume wanazimisha maisha ya wake zao kwa mizozo kama huu. Haya tumeyaona sana hapa jamvini hivi karibuni. Ninakubaliana na mawazo ya wengi hapo juu Lakini niongeze tu nimeshangaa uliposema wewe na Mkeo mnaishi mikoa tofauti. Hapo kunatia shaka kama mna ndoa na hili linaweza kuwa ndio sababu ya mke kutokuwa na trust kwako.Habari wanajamvi,
Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua kuwa mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu na kuweza ku-access mawasiliano yangu yote hasa ya sms tokea mwezi wa 10 mwaka jana 2015 na kuzihifadhi kwenye simu yake. Sina uhakika kama aliweza kupata mawasiliano mengine tofauti na sms. Ninasema ku-hack kwa sababu tunaishi mikoa tofauti na hivyo hakuwa na namna yoyote ya ku-access simu yangu physically toka wakati huo, pia cmu yangu ambayo ni smart phone ina security (password) in case angetumia mtu aliye karibu yangu. Nimegundua hii hacking baada ya kuwa na hali ya kutoelewana kati yetu kwa muda sasa ambapo pamoja na mambo mengine niligundua kuna taarifa zangu za siri anazozifahamu ndipo nilipoanza uchunguzi na kugundua kuwa ana hizo sms. Miongoni mwa sms anazoshikia bango ni zile zinazohusiana na miamala ya Mpesa ambapo nimewatumia pesa ndg, jamaa na marafiki ambao ckuona umuhimu wa kumtaatifu hivyo akazijengea hoja mbali mbali ikiwemo ya uhusiano wa kimapenzi wakati si kweli! Nimejaribu kumbana aseme amewezaje ku-access "private communications" zangu ila amegoma kabisa kuweka wazi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa hana utaalam wowote wa masuala ya mawasiliano!
Kwa kuzingatia usumbufu uliojitokeza kwa kuingilia mawasiliano yangu ya siri hasa kupitia mis-perception ya taarifa alizokutana nazo, nimepata wazo la kumshtaki kwa mujibu wa ile SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015 ila nikaona kabla cjafanya hivyo nililete suala hili hapa ili nipate michango yenu ya mawazo hasa juu ya nini cha kufanya. Suala hili limenichanganya sana hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kwenye ndoa takribani miaka 8 sasa na tuna watoto 2. Naombeni michango yenu ya mawazo.
Ahsante!
Watu mnaingiaga kwenye ndoa huku mkiwa hata hamjielewi.
Inavyoonekana mnaingiaga tu ili kukidhi matakwa potofu ya jamii.
Sasa wewe unalalamika eti mkeo anazifahami taarifa zako za siri.
Siri gani hizo ilhali mko kwenye ndoa?
Au mliwekeana makubaliano ya mipaka kwenye ndoa yenu kabla hamjaifunga?
Sehem za siri zenu mnaonyeshana hadi kuzaa watoto wawili, Ila sim inakufanya umshtaki!
Watu mnaingiaga kwenye ndoa huku mkiwa hata hamjielewi.
Inavyoonekana mnaingiaga tu ili kukidhi matakwa potofu ya jamii.
Sasa wewe unalalamika eti mkeo anazifahami taarifa zako za siri.
Siri gani hizo ilhali mko kwenye ndoa?
Au mliwekeana makubaliano ya mipaka kwenye ndoa yenu kabla hamjaifunga?
Wala usipaniki!!Habari wanajamvi,
Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua kuwa mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu na kuweza ku-access mawasiliano yangu yote hasa ya sms tokea mwezi wa 10 mwaka jana 2015 na kuzihifadhi kwenye simu yake. Sina uhakika kama aliweza kupata mawasiliano mengine tofauti na sms. Ninasema ku-hack kwa sababu tunaishi mikoa tofauti na hivyo hakuwa na namna yoyote ya ku-access simu yangu physically toka wakati huo, pia cmu yangu ambayo ni smart phone ina security (password) in case angetumia mtu aliye karibu yangu. Nimegundua hii hacking baada ya kuwa na hali ya kutoelewana kati yetu kwa muda sasa ambapo pamoja na mambo mengine niligundua kuna taarifa zangu za siri anazozifahamu ndipo nilipoanza uchunguzi na kugundua kuwa ana hizo sms. Miongoni mwa sms anazoshikia bango ni zile zinazohusiana na miamala ya Mpesa ambapo nimewatumia pesa ndg, jamaa na marafiki ambao ckuona umuhimu wa kumtaatifu hivyo akazijengea hoja mbali mbali ikiwemo ya uhusiano wa kimapenzi wakati si kweli! Nimejaribu kumbana aseme amewezaje ku-access "private communications" zangu ila amegoma kabisa kuweka wazi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa hana utaalam wowote wa masuala ya mawasiliano!
Kwa kuzingatia usumbufu uliojitokeza kwa kuingilia mawasiliano yangu ya siri hasa kupitia mis-perception ya taarifa alizokutana nazo, nimepata wazo la kumshtaki kwa mujibu wa ile SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015 ila nikaona kabla cjafanya hivyo nililete suala hili hapa ili nipate michango yenu ya mawazo hasa juu ya nini cha kufanya. Suala hili limenichanganya sana hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kwenye ndoa takribani miaka 8 sasa na tuna watoto 2. Naombeni michango yenu ya mawazo.
Ahsante!
Mkuu Nyani Ngabu.
Acha Povu. Ni vyema tungemsaidia huyu jamaa.
Mkuu nisikize mimi mkeo haja hack simu yako kama unataka kuamin hilo nunua smu ya kawaida ambayo hiana 4G.3G. Au Wi-fi au GPS au kama vip badilisha simu nyingine tu ya android na weka email nyingine ya gmail. Na hakikisha humuoneshi mtu password ya email yako au kumpa mtu simu akaweza ku access app store.Habari wanajamvi,