Recent content by Hatujuwani

  1. Hatujuwani

    Nifanyeje Jamani?????

    Habari waungwana!!! Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je nifanyeje na Bodi nilishakwenda mara kibao na kuambiwa niko kwenye system lakini mpaka sasa hamna...
  2. Hatujuwani

    Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    We KING KONG III nimekubamba sijakubamba??????????????
  3. Hatujuwani

    King Kong III

    Habari wJF, Naomba kujuwa jamani huyo jamaa mwenye hii user name (KING KONG III) ana share/hisa yoyote kwenye hii jamii forum? Maana kila nikifunguwa thread yoyote ile lazima nikute yeye ndiye mchangiaji wa kwanza au wa pili kwenye thread. Naomba kujuwa jamaa ana hisa asilimia ngapi? Au ni mimi...
  4. Hatujuwani

    siku ya kwanza

    Malaya mkubwa wewe, Shenzi-Taip mkubwa.
  5. Hatujuwani

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Mpendwa! nakushukuru kwa ushauri wako mzuri ila yote hayo tuliyafanya bila mafanikio. Yaani tumechoka basi tu.
  6. Hatujuwani

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Mpendwa! Hiyo haiombewi heri ndicho kiasi kinachotakiwa kutolewa.
  7. Hatujuwani

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Bwana Yesu Asifiwe wapendwa. Juzi kati mimi na jamaa yangu (bwana harusi mtarajiwa) tulienda mkoa fulani kwa wazazi wa mke wake mtarajiwa kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kupangiwa mahari, Baada ya utambulisho ilibaki kazi ya mshenga na wakwe kupangiana mahari. Mshenga alipewa barua...
  8. Hatujuwani

    Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

    Siku moja nilienda mkoani Mara nilikutana na vijiji vyenye majina yafuatayo: Maji-Moto Iseresere Kobe-sisi Kenya-Monta Ikorongo
  9. Hatujuwani

    Tazama kisha toa maoni/Maana yake nini

    Hii nilipita mahala nikaiona, Sijui ni elimu ndogo au ni maksudi! Nawaachieni kwa maoni zaidi.
  10. Hatujuwani

    Ni zaidi ya picha

    Sema hakyamungu!!!
  11. Hatujuwani

    Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam: Wananchi kutibiwa Hospitali Binafsi kwa Gharama za Serikali...

    Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu!!!!!!!!!!!!!! Huwezi kupewa kazi ya nchi alafu unaishi kihuni huni............
  12. Hatujuwani

    Waziri ananitaka kimapenzi

    See the day coming, Jesus will bring hunger, not lack of food or thirst for water, but a famine of hearing the words of God, Hours comes God will remove word that men shall be sought at all costs and longed to hear but it will be too late. time is now, beloved, come to Jesus he is the only...
  13. Hatujuwani

    Anataka nyumba yake anadai simpendi

    Huyo bado ni mmewe kwa maelezo yako inaonyesha bado ndoa yenu haijavunjika. Hata hiyo nyumba unayoisema si umepewa na wakwe zako? Kiukweli au kisheria bado we ni mke wa mtu na hutakaa ukaolewa tena ila kama we ni mzaramu sitashangaa. Tambua kuna ndoa za aina nne zinazotambuliwa kisheria...
  14. Hatujuwani

    SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

    We acha kuleta hapa mambo yako mbofu mbofu namna hiyo.
  15. Hatujuwani

    Who better than!!!!

    Sio makusudi ndugu pengine haya mambo siyajui saana kiivyo, Mimi nilijua kazi ni kazi kama kazi zingine. We nipe ushauri tu, nani atanifaa kimapenzi??
Back
Top Bottom