King Kong III

Hatujuwani

Member
Oct 11, 2011
51
10
Habari wJF,
Naomba kujuwa jamani huyo jamaa mwenye hii user name (KING KONG III) ana share/hisa yoyote kwenye hii jamii forum?
Maana kila nikifunguwa thread yoyote ile lazima nikute yeye ndiye mchangiaji wa kwanza au wa pili kwenye thread.
Naomba kujuwa jamaa ana hisa asilimia ngapi? Au ni mimi tu nina bahati mbaya naye!!!!!!
 
Navyojua, hakuna kitu kama hisa hapa JF ila kuna kitu chaitwa premium member. Premium member ni yule aliyependa kwa hiari yake kuchangia JF ili ipate uwezo wa kuwa hewani kwa kutoa angalau sh 10,000 kima cha chini. Hata wewe waweza kuwa premium memba ukiamua. Ila sijui kama King Kong III NI P premium member au la ila ni mwanaJF wa siku nyingi na anapenda sana kuchangia. Kama hapendi thread yako anapenda kusema:"Mbombo Ngafu!".Atakuja punde na atajieleza zaidi.
 
Hatujuwani umetisha haaaaaaaaa sina hisa yeyote JF ila naipenda sana,mara nyingi nakua mchangiaji wa kwanza au wa pili(lkn sio sana) coz na refresh JF every after one post!!
 
Haaaaaaaa HYGEIA thanx kwa kumjibu.
 
i dont believe being that east is eastand west is west and first is always best
 
Hatujuwani umetisha haaaaaaaaa sina hisa yeyote JF ila naipenda sana,mara nyingi nakua mchangiaji wa kwanza au wa pili(lkn sio sana) coz na refresh JF every after one post!!
mkuu we noma sana post 16600 sijui nitafikia lini mimi!keep it up
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom