Nifanyeje Jamani????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje Jamani?????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hatujuwani, May 8, 2012.

 1. Hatujuwani

  Hatujuwani Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari waungwana!!!

  Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je nifanyeje na Bodi nilishakwenda mara kibao na kuambiwa niko kwenye system lakini mpaka sasa hamna chochote kinachoendelea?

  Ushauri tafadhali!
   
Loading...