Recent content by Hassan Mtawa

  1. Hassan Mtawa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau najua hapaa nitapata wadau tofauti na mawazo tofauti naomba kjua ile machine ya mhindi kwa ajili ya kbetii inapatikanejee
  2. Hassan Mtawa

    Ni dhambi kuilaumu serikali bila kushauri nini kifanyike

    Kilwangu huyuu jamaa namuona km sio mtanzania au anatafta Kiki ili JF ifungiwe yakuongea yapo mengi mm nimefungwa mdomo kilicho mtokea Nape kila mtu ameshuhudia
  3. Hassan Mtawa

    Ni dhambi kuilaumu serikali bila kushauri nini kifanyike

    Unabahati unaongea kwenye media hk kwetu kwa ujinga ulio post nina uhakika ungekuwa umefanyiwa lolote huenda saiz yangekuwa mengine be careful sn km unacho usidhan everybody anacho
  4. Hassan Mtawa

    Mapya kuhusu watumishi wa umma kwenda kusoma kwa ajili ya kupanda madaraja na vyeo

    Iman za ndoa ni mguu nje mguu ndan kkosa au kpata
  5. Hassan Mtawa

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ajira mpya watu wanazisbili magufulii kuwa na utu very painful ktokuwa na ajira kwa muda mrefu
  6. Hassan Mtawa

    BABATI: Wazazi waajiri Mwalimu wa hesabu, wamlipa mshahara

    Sasa ile elimu bure iko wap utackia zahanati zimefugiwa nyuki
  7. Hassan Mtawa

    Rais Magufuli, unazijua hasira zetu watumishi?

    Mm naona tukamatwe tuu maana nan wa kvumilia ikiwa washauri wetu hataki kuwasikiliza na anaahadi nyingi ambazo zimetufanya kuwa blind ktk utaftajiii wa kjitegemea mm hii kaulii yake ya tumuombee huwa siielewi najua taifa linamushangaa Matendo na alivyo pitaa kuwa Rais imekuwa tofauti cjui ngoja...
  8. Hassan Mtawa

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Kingereza kwenda kiswahili some time inakuwa ngum swangish mbona inatembea kila konaa
  9. Hassan Mtawa

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Kitaalam wanawake Kama hao wanaitwa vaginism maana yake njia yake iko tightness due to muscular contractions na ili hiyoo hali iishe inabidii afanyiwe curratege dilation, vaginal yake iwe smooth ajickie enjoyable wakati wa tendo la ndoa nakshauri muone mtaalam wa matatizo ya wanawake anaitwa...
  10. Hassan Mtawa

    Mjadala kuhusu ajira Tanzania

    Cha kfanya hakionekani ukweli ktoka mamlaka husikaa hakna hatujui ni lini ajira zinatokaa
  11. Hassan Mtawa

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    Utafitii unafanyika na wataalam so allergy yako usiilazimishe na kwa wengine na sio kila daktari ni mzoefu km ulivyo mtaja ukisoma dawa imeandikwa indication and contraindications even side effects so haya maelezo yana maana yake kwa watumiaji dawa zipo Aina nyingi na zinatibu tatizo moja...
  12. Hassan Mtawa

    Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

    Nataka kchangia ila naogopa nitakamatwa kuwa nachochea daaaa bora Enzi za Nyerere uhuru wa kuongea ulikuepo
  13. Hassan Mtawa

    Hivi Rais wetu Magufuli huwa anataka tumwombee nini kwa Mwenyezi Mungu?

    Bigup sn Mr ajira ajira na ktk utekelezaji wa majukumu yake
Back
Top Bottom