kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Kwanza nianze kwa kusema habar zenu wakubwa wangu . Leo nilikuwa nataman kwa pamoja tujadili hili janga la ajira linalosumbua hii Tanzania yetu leo naomben msaada wa mawazo yenu kuhusu maada hii tujadil kwa pamoja
"CHANGAMOTO YA AJIRA INAYOWAKUMBA VIJANA WA TANZANIA ,NINI KINASABABISHA ? NIN KIFANYIKE KUONDOA CHANGAMOTO HIZI?
ASANTEN KWA MUDA WENU NAKARISHA MAONI YENU
"CHANGAMOTO YA AJIRA INAYOWAKUMBA VIJANA WA TANZANIA ,NINI KINASABABISHA ? NIN KIFANYIKE KUONDOA CHANGAMOTO HIZI?
ASANTEN KWA MUDA WENU NAKARISHA MAONI YENU