Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

Half B

Member
Sep 12, 2016
30
12
Habari zenu wakuu,

Nina girl friend sehemu zake za sri zinaleta shida. tatizo lake baada ya tendo anadai anapata maumivu makali, anadai hayo yanaambatana uke kujifunga huwezi kurudia tendo tena hata kupitisha kidole.

Maumivu yale anahisi kama kuna vidonda ndani ya uke, amepimwa tukahisi labda ni ugonjwa wa zinaa lakini sio.

Wadau naombeni mwenye uelewa na swala hili anipe maelekezo ya tiba.

Natanguliza shukrani
 
Wakati wa kufanya halalamiki kuwa unamuumiza? Kama huwa analalamika huwenda iawa humwadai vyema na uke wake huwa mkavu au huwa unamwandaa vilivyo sema kwa asili yake uke ni mkavu tu ndio maama anaumia

Jaribu kutafuta kilainishi wakati wa tendo uone kama hali itakuwa hivyo hivyo

Ila kama. Uke wake hutoa maji ya kutosha na bado analalamika swala hilo kwangu litakuwa limenipita uwezo hivyo nitakaa hapa kusubiri majibu ya wataalamu wa mambo haya.
 
Mkuu hana uke mkavu,isitoshe huwa namuandaa vizuri.na Tatizo limeibuka mwanzo hakuwa nalo
 
Kitaalam wanawake Kama hao wanaitwa vaginism maana yake njia yake iko tightness due to muscular contractions na ili hiyoo hali iishe inabidii afanyiwe curratege dilation, vaginal yake iwe smooth ajickie enjoyable wakati wa tendo la ndoa nakshauri muone mtaalam wa matatizo ya wanawake anaitwa gynecologist if possible. Co kila tatizo ni prepation
 
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
mkuu lugha yako ngum tumia kiswahil tasaha
 
Back
Top Bottom