Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

Huo nimekupa mfano hai Lazima uelewa kwanza kiongoz yyt huteuliwa na Mungu hata kama kaingia kwa mapinduzi ya kijeshi
huu ujinga nani kakufundisha? kuwa na aibu aisee

mmekremishwa biblia pasipo kuielewa

wapi imeandikwa?
 
Ila inategemea ni maumbile gani,neno maumbile linatoka katika neno maumbo, kwa hiyo maumbo ni mengi sana
 
Mimi nimeelewa ivi nchi ina maumbile yake ambayo yanatakiwa yafuatwe sasa mkulu hayafuati hayo maumbile, na hii ndiyo tafasiri sahihi ya hii sentensi. Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha eti kinyume na maumbile Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha . Huyu jamaa kapitiliza baada ya kuvunja record yeye ameenda kuvunja santuli.
 
Kuendesha nchi kinyume na maumbile.
Hajaeleza maumbile ya nini maana kuna maumbile gari,grader,meli,ngalawa na vyombo vingine vinavyoendeshwa.
Hapa watatafsiri vipi ili kupata tusi litakalompeleka jela?
 
Wakati wa kampeni huyu mtu hakuonyesha kujali wala kukerwa na matusi, kebehi na maneno ya kudhalilisha yaliyokuwa yanatolewa karibu kila siku na wapambe wake, tena mbele yake.
Kwa sisi wengine mwenendo ule ulizidi kutuondolea hata kale kauwezekano kadogo ka kumkubali.
Inashangaza kuwa ghafla wamesahau kuwa 'apandacho mtu ndicho atakachovuna'. Wengine husema malipo ni hapahapa Duniani.
Sisi wengine hatuungi mkono matusi, bila kujali yanaelekezwa kwa nani. Lakini imekuwaje kuwa watu walewale walionyamazia matusi dhidi ya wenzao leo hii wao wakitukanwa wanakuwa wakali?!
Mababu zetu walidai na kupigania uhuru haikuwa kwa ajili ya watawala peke yao, bali ilikuwa kudai uhuru na haki kwa ajili ya raia wote wa Tanganyika. Bila kujali vyeo vyao wala nafasi zao katika jamii.
JAMANI, TUMUOGOPE MUNGU.
 
Wacha aende jela akajue ni vipi watu watatawala maumbile yake kinyume, yeye si akivuta bangi na kunywa viroba analewa misifa na kuropoka?
 
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
Kutoa matusi siyo njia sahihi ya kufikisha ujumbe kwa viongozi wetu.
 
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
acha lugha za matus kwa wakuu wa nchi na bora Polisi walivyokukamata
 
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
JPM iliwashinda.... walishindwa kumleta JPM mahakamani... hata hili litawashinda tu.

Kwani kinyume na maumbile ina maana ngapi?
 
Back
Top Bottom