Haiwezekani kukukomoa kwani hata mahakama au ustawi wa jamii wenyewe wanazingatia kipato chako kabla ya kukupangia kiasi cha kutoa matunzo.
Na isitoshe kama mama anao uwezo hapaswi kupewa chochote. Na zaidi ya hayo mtoto anapokuwa ameacha kunyonya mama akikataa kukaa nae na ikiwa ana uwezo...
kaka philemon, binafsi umenizindua usingizini...... sikujua juu ya yote haya, huu ndio umuhimu wa JF. pamoja na hayo mengine mi nilidhani ule mradi wa airport mkuranga unaendelea.
binafsi sioni tatizo kwa jeshi letu kupewa misaada ya vitendea kazi, kumbuka kuwa jeshi ni taasisi na si mtu fulani hivyo si rahisi kama unavyodhani kununuliwa. zaidi ya hayo kama unadhani hii misaada ni tatizo ni bora tuizuie ya nje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.