Barabara za wenzetu, bongo na tu-njia twetu tuwili!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1112_Image004.jpg


i1111_Image003.jpg



i1108_Image000.jpg


HIZI ZA KIBONGO SASA...

i1176_PC010458.jpg


i1178_IMG1557.JPG


i1179_P1080029.JPG


Kwa tu-barabara twetu twa njia moja/mbili, tubarabara twa 'matope' na changarawe tunaweza kupunguza 'misongamano' ya magari barabarani?
 
dawa ni kuondoa watu fitna katika kazi
nchi irtasonga tu au tungoje wafe
 
Jamani acheni utani kufika huko hapa Tanzania ni ndoto, kuna kipindi nilikuwepo huko USA mhhhh!! Nilikuwa nashangaa bara bara zao, sijui hata walijengaje. Na hizi zilizopo hapa kwenye picha ni cha mtoto, kuna nyingine ni balaa hasa miji ya New York na New Jersey na CA.
 
Priority ya serikali yetu ni nini? mimi kwa mtazamo wangu bado tupo kwenye kipindi ambacho viongozi uchara tulionao wanajilimbikizia mara hawana malengo ya kujenga nchi, hata kama ni taifa changa lakini tungekuwa tunavitu ambavyo vinatuonyesha direction ya kuendelea. kama tunagawa natural resources zetu unategemea tutaendelea. Kwa mfano sasa hivi tymeishauza loliondo kwa waarabu (hata ukienda huke ukifika maeneo ya mbuga simu yako itakwambia wellcome to UAE). Inashangaza sana. Unafikiri pesa za kujenga mabarabara sitatoka wapi kama hatutatumia tulichonacho?
 
hebu weka na moja ya mfano wa za kwetu

Si itakuwa ni aibu kweli kweli, Me si dhani ni lazima tujenge barabara za juu ni kuna haja ya ku plani miji yetu upya au nje ya miji yetu ndipo tuhakikishe bara bara zapanuliwa vya kutosha na kuziboresha vyema. Kwa mfano kuna mkoa gani utaweka barabar ya juuu Dar?? Mwanza??Arusha??Mbeya??Dodoma?? Nchi nzima bado ina maeneo makubwa tu esp mijini ni swala la cities planing basi.
 
[B said:
FirstLady1[/B];684677]hahaha barabara zetu zinatisha za kiwango cha rami ndio hizo?
Acha mafisadi waendelee kujaza matumbo yao!
 
Back
Top Bottom