Recent content by haroubh

  1. haroubh

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro aagiza Mkuu wa Utumishi Ilala asimamishwe kazi

    Sio ilala peke yake hata hapa sumbawanga manispaa atumbuliwe tuna miaka sita no madaraja then anajibu utumbo wakati wenzetu wa sumbawanga vijijini wamepanda Sent using Jamii Forums mobile app
  2. haroubh

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe ni mbaguzi wa rangi na si mzalendo, soma makala yake hii

    Edo kumwembe yupo sahihi 100% tusipepese macho. Tanzanian ni nchi ya wasomi wanaonyanyaswa na wanasiasa
  3. haroubh

    JamiiForums Tanzania Baba ananitenga na dada anakula matunda ya kodi,nikiwa milionea kweli nitamsaidia kwahali hii?

    Huyu ni mwanaume wa dar tena toka temeke mikoroshini
  4. haroubh

    JamiiForums Tanzania Je, kuna unafuu wa karo International School of Tanganyika (IST) kwa Watanzania?

    Mm bwana naona bora elimu bure sasa hv dogo langu lipo MUHIMBILI linapga famasia limetoka primary mpka chuo bureeeeeee ila dah 15 zinaumaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. haroubh

    JamiiForums Tanzania Msaada:Nimekosa choo kwa muda siku tano nitumie dawa gani?

    tumia mafuta na tango ktk njia ya haja kubwa utapata fastaaa
  6. haroubh

    JamiiForums Tanzania Kama wewe 'Bikra',kutana na wenzio hapa.

    mm nilitoa kwa mtoto wa kiilaki kipindi naenda kulipoti xul karatu tukapanda gari moja dah nikamtindua kinomaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. haroubh

    JamiiForums Tanzania Bila tija mshahara usiongezwe serikalini

    inaulazima ya kupimwa mkojo ww Sent using Jamii Forums mobile app
  8. haroubh

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu kauli ya Raisi Magufuli ya kutowarudisha shule wanafunzi waliobeba ujauzito

    rais yupo sawa km chadema wanataka watu wakijifungue warudi xul bas pia waruhusiwe kuolewa na kurudi xul
  9. haroubh

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hataki tukaishi kwa wazazi wangu ili tubane matumizi tujenge

    sometimes huyo dem atakuwa bonge la cheche ndo maana hatak
  10. haroubh

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hataki tukaishi kwa wazazi wangu ili tubane matumizi tujenge

    bulooo acha ukitonga fuata. mawazo ya mkeo.
  11. haroubh

    JamiiForums Tanzania Audio mpya:Harmonize na Rich Mavoko-Show Me.WCB will going on air forever

    njoo ushuhudie leo dar live hamorapa akiingia na helicopter. kiboko wa mabishoo kiboko ya wasafi
  12. haroubh

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amekuwa kiongozi wa double standards

    hapo kwa halima mdee kamkosea mzee wa watu Tusi aliompa nimelisikia live so sio busara kabisa
  13. haroubh

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

    sheria ipo sawa kabisaa ikiisoma inamfanya mmiliki awe makini na chombo chake
  14. haroubh

    JamiiForums Tanzania Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

    lhjm
  15. haroubh

    JamiiForums Tanzania Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

    tatzo Sam alikuwa na majibu yake so kakuta amekosa akamaind
Back
Top Bottom