Audio mpya:Harmonize na Rich Mavoko-Show Me.WCB will going on air forever

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
2aa0c145d4e8d65f870882ff68ce127f.jpg

Download wimbo mpya toka kwa Harmonize na Mavoko uitwao Show Me upakue kupitia Wasafi.co.
 
njoo ushuhudie leo dar live hamorapa akiingia na helicopter. kiboko wa mabishoo kiboko ya wasafi
 
watz mna mambo ya wivu sana.mtu ukiwa nchi za nje unaambiwa nitajie msanii unae mkubal tz kwa akili zako timam unaweza kutaja jina la harmorapa?
 
Huu wimbo ni wimbo mbaya sana tangu wcb ianzishwe

Halafu huyu harmorapa anatembelea nyota ya harmonize nini??maana wamakonde hawachelewi kwenye mambo ya ushirikina maana tangu aanze kuimba harmonize amepotea vibaya sana kila wimbo anaoutoa mbovu
 
Back
Top Bottom