Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

Sam Misago Na Kiba wazenguana FNL

Diamond ndio alianza kumdiss Kiba, sasa kama anataka yaishe aende akamuombe msamaha kwa nidhamu na kama hawezi basi aendelee kama zamani.....

GoKibaGo.
 
Hayo maswali yanahusiana na mziki wa Kiba? Sam asilazimishe u SHILAWADU akitegemea naye ipo siku apigiwe simu na mfalme...
 
Diamond ndio alianza kumdiss Kiba, sasa kama anataka yaishe aende akamuombe msamaha kwa nidhamu na kama hawezi basi aendelee kama zamani.....

GoKibaGo.
alianzia wapi? inamaana mara hii mmesha sahau maneno aliongea msanii wenu kwny uzinduzi wa nyimbo zke mbili mwana n kimasomaso
 
Hii njemba iache tabia ya kununa nuna bila sababu za msingi. Hii tabia inawakimbiza mashabiki wengi sana ambao wangependa kumsupport kwenye kazi zake.

Ni ktk kipindi cha FNL cha tar 17/03/2017..
Kifupi Kiba amekataa kujibu maswali aliyoulizwa na Sam...
Mwisho wamekatiana simu..

muziki wa Bongo una safari kubwa Sana kufika kilele
 
Ali mdis lini na wapi. tatizo kibwa ushirikina unamsumbua
Diamond alianza kumdiss kwa kusema Kiba anamloga......
Baada ya ujio wa kishindo wa King so awe mpole tu au akamuangukie kwa magoti,
Kaka ni kaka tu.
alianzia wapi? inamaana mara hii mmesha sahau maneno aliongea msanii wenu kwny uzinduzi wa nyimbo zke mbili mwana n kimasomaso
 
Back
Top Bottom