Recent content by Harald Dad

  1. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Ndicho hata mm nakifahamu Hawa akuumbwa sasa nani aliumbwa pale? (Liliath)! Ama kweli binadamu hawapitwi na jambo lolote
  2. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Jamii Forum mjadala uendelee
  3. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    JE KABLA YA KUMUUMBA HAWA MUNGU ALIMUUMBA MWANAMKE MWINGINE? Wapendwa naomba mnisaidie ukisoma mwa 1:26 - 27 hapo Mungu alimuumba mtu mwanamke na mtu mwanaume je huyu mwanamke aliyeumbwa hapa ni nani? Wakati huo huo Hawa aliumbwa baada ya Adam kulazwa usingizi na kuchomolewa ubavu? Mwa 2:18 -...
  4. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya Lugha ya Kiswahili?

    Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya lugha ya Kiswahili?
  5. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania New member

    Nikaribisheni na mm
  6. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Kujitambulisha

    Karibu nyumban
  7. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Nawasalimu Wana JF wote

    Nini hasa kimekuvutia haswaa ambacho huwezi kukipata popote
  8. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania New member

    Hivi chakula hiki ni aghali sana ety!
  9. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Salaam Wana JF

    Hongera mgeni mwenyeji kupokelewa na mwenyeji karibu mgeni mwenyeji nipone
  10. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

    Nzuri kwa wasioajiriwa tu kwa ss tulio kwenye system ngumu kumeza!
  11. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Undugu wa Jackline Mengi na mke wa Kagame na madai ya U-honey trap

    K-lyn yuko kwenye kipindi kigumu cha kuondokewa na mzazi mwenza mwacheni kidogo apite kwenye majonzi mazito baada ya hapo ibueni hayo
  12. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

    Ray c anahitaji faraja zaidi ina maana humu Jf hawezi kujitokeza mzalendo?
  13. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Daaaah, huyo dada wa fitina hana kigugu hata kidogo anatema maneno barabara
  14. Harald Dad

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Kweli ukipata tumia uwezavyo maana neno mafisadi limekuwa wimbo na kivuli cha kufichia ufisadi wao ili sisi tusione wanavyofuja mali za umma
Back
Top Bottom