Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,603
Realistic kivipi sasa mkuu! Kwani watu wanaoajiriwa kwenye ma NGO wanaishije baada ya mikataba?Haiko realistic..
Waajiri wakuu nchini ni Sekta Binafsi..Na huko unalipwa kadri ya unavyozalisha..sasa ..
Hata ikiapply serikalini tu,kamwe tatizo la ajira halitakwisha naana hawawezi kuajiri watu wengi kama sekta Binafsi..
Walau hoja ya pili . (Vikomo vya madaraka ya kisiasa) inamake sense
Potelea pote hata serikalini tu itakuwa na impact kubwa sababu watu watakuwa wanabadilika badilika chap! Fikiria serikali imeajiri around watu laki 4 wakiwa wanajitwist kila baada ya miaka 5 inamaana watu laki 3 watakuwa wanaingia ajirani kupishana na wanaokuwa wamemaliza mikataba, which is almost 50% ya graduates wote kwa kipindi cha hio miaka watakuwa wanapata kazi!
Wale wanaorudi mtaani wanakuja kusisimua uchumi kupitia miradi mbali mbali watayoanzisha! Watawa boost 50% ya graduates waliokosa ajira, uchumi utaendelea kukua huku hali za maisha zikiwa nzuri!