Recent content by haqu

  1. haqu

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Mkuu!; unapofukuzwa na simba utaparamia hata mti wenye miba bila kuijali inavyo kutoa damu! ile speed ya kuokoa maisha ni ya kufa au kupona!ukisha nusurika ndipo utashuka pole pole huku ukiiharibu ile Miba isije ikakuchoma tena! Laa unataka kufa endelea kudumaa; hata wahenga wamesema sikio LA...
  2. haqu

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Mkuu!; unapofukuzwa na simba utaparamia hata mti wenye miba bila kuijali inavyo kutoa damu! ile speed ya kuokoa maisha ni ya kufa au kupona!ukisha nusurika ndipo utashuka pole pole juku ukiiharibu ile Mina isoje ikakuchoma tena! Laa unataka kufa endelea kudumaa!
  3. haqu

    Ufipa: Heaven on Earth

    Juliana Shonza Hata Musa alizaliwa kwenye himaya ya farao! Nakushangaa we we uliye rudi misri!
  4. haqu

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Mzee Mwanakijiji Mkuu, hao lengo lao ni kupata Katiba ya Wananchi!; Hivyo basi hata mbwa akijiunga vitani nitamkaribisha!
  5. haqu

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    Kwema Africa sana? Mbona unawaka sound nyingii, ooh Matola..simba anakimbi km150 kwa SAA lakini anazaa! Nimekusifu unapendeza dogo; sema asante!
  6. haqu

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    Vijana wa Africa sana hao!
  7. haqu

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Mkulu kumbe kuna wakti michango yako iko gado kwa sana eeh!; sasa mbona kule jukwaa LA d/I unatuchanganya?
  8. haqu

    CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

    Cha ajabu mini?¿ Hata Musa alilelewa na firaun, jee kumpokea kama Mtume ni unafiki? Acha kijiba cha roho! Unafiki ni pale unaposhindwa kusherehekea wakati yule anaye kuchukuliaga mkeo kagongwa na gari kafa wee eti una huzunika na kulia her?..sherehekea kwa laga na kitimoto bro...
  9. haqu

    Jeshi la Rwanda

    Teh teh the!; formula yetu no hii > W W W!! W=War! W=Whisky! W=Women! Hakuna zaidi wala pungufu :fencing:
  10. haqu

    Nisikilizeni CHADEMA: Tatizo ni UKAWA, Hili ndilo chaguo langu la rais wa 5

    Hayo ni Mawazo Mazuri sana!; Ambayo ni Nccr na Nld tu, Wanaweza Kuyaafiki!; Cuf hawawezi kuyaafiki! Hivyo basi wapelekee hii Ajenda kwa walio Tayari, kwa ajili ya utekelezaji! Muda si rafiki tena kwa kusubiri!
  11. haqu

    Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    Jesus-The Violent. "The Kingdom of heaven has suffered violent Attacks. And Violent Men try to seize it" (Mt 11:12) see also Mt 7:23, Mt 7:15, Mt 25:41, Mt 23:13-33... The verses quoted above were said in different situations and backgrounds, yet they were all hard- hitting and vehement. We...
  12. haqu

    Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    Matusi na ngumi gani wewe? Hivi mwizi kumwmbia wewe ni mwizi unaona unamtupia ngumi na kumtukana!? Unachekesha sana...Usiiwekee mipaka Injili Mkuu, hata humu viumbe wa Mungu wamo inatupasa tuwafanye Wana wa Mungu...
  13. haqu

    Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    Sio kosa lenu Bali ni ile kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.. Niwaulize, hasa mnaokazania msamaha!; Hivi mnaelewa nini Yesu aliposema Muwe wapole kama huwa lakini werevu kama nyoka!? Unaona msamaha alio-utoa Yohana Mbatizaji kwa kumkemea Herodi kwamba ni mzinzi aache uzinzi wake...Yohana...
  14. haqu

    Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    chakufia nini; Tumsifu Yesu Kristo!; Nina Hakika Huwezi ukamzidi Yesu Upendo! Umeona Upendo Aliowapa wale waliokuwa wanatukanisha Nyumba ya Baba yake?? Ni bakora tu...Yesu hakuwa legelege Mkuu!; ndilo Tatizo kubwa tulilo nalo Wafuasi wake, tunapenda Ufufuko lakini Msalaba tunatafuta sababu...
  15. haqu

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Hapo Mkuu possibility no kumuokoa jambazi sugu!
Back
Top Bottom