Teh teh teh.
Mgalatia unataka kuleta Ule mchezo wa kiklistu sio?
Mimi nimeshaoa kamanda.
Mjaribu
Matola. Nyie wote imani moja. Halafu Mkwala wake anaanza kukuimbia Taarabu kwanza kisha anakufukiza udi. Akimaliza hapo anamwaka Asumini chumba kizima!
Teh teh teh!
Usiniulize hizi habari nimezipata wapi. Muulize
lusungo.
Iko siku moja kwenye Jukwaa la Watu wazima nilimkuta
lusungo analalamika kuwa Jamaa ana makalio magumu ka Nyani mzee.
Yaani wakitaka kumchoma sindano lzm wampake majivu na Grisi ndio ipite!
Sasa sijui alikuwa anamtibu kitu gani muefeso mwenzake mpk akajua ugumu wa makalio yake.