Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

Status
Not open for further replies.
sikumbuki hii kauli kutolewa ufafanuzi,

[h=2]"ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa" - JK[/h]

Mbona unataka kukwepesha mada? Kwa sasa hatujadili hiyo. Nenda katafute muktadha wake, muda na mantiki yake. Ikiwezekana wasiliana na aliyeitoa (unaweza pia kuanzisha thread) na bila shaka atakufafanulia alimaanisha nini japo to me it sounds like kind of law of existence...
 
Mchungaji msigwa ALITELEZA na hili ni muhimu akubali tu wala asimung'unye maneno. Naamini yeye ni msomi na anajua zile 5 WH.... ambazo anatakaiwa azizingatie kabla hajaongea i.e WHO, WHOM, WHY, WHAT, WHEN. sasa yeye hakujua anaongea na nani,wapi na anaongea nini na ipi ATHARI ya atakachokiongea.
Mleta uzi usimlishe maneno msigwa au kuingia kwenye ubongo wake.. ...historians wanasema FACT SPEAKS FOR IT SELF , atahukumiwa kwa alichokisema, usitumie povu kulilaumu gazeti, gazeti linahoji alichotamka tu.
Gazeti lipo sahihi na si uchochozi, uchochezi kama upo basi kauanza yeye!
Hivi alikosa msamiati kabisa kwenye kiswahili mpaka kuifananisha chadema na kanisa? Hili neno angekuwa katamka muislamu kukifananisha chama chochote na msikiti , tungeshuhudia matusi ya nguoni hapa kama kawaida! Msiwe na double standard ,just call a spade a spade!
 
hivi jamani ninyi mnaohangaika na hawa waislam uchwara, wa hako kagazeti, kuwafafanulia maana halisi ya kauli ya Msigwa, hivi kweli mnafikiri wao hawaielewi hiyo kauli??!! Hawa waislam uchwara wanaielewa vizuri sana kauli ya Msigwa lakini kinachofanyika hapo ni uzandiki wa kutumia hii midini ya kikoloni kuchonganisha waafrika. Kwa Mwislam kutoa tafsiri ya jinsi hii kwa waislam wenzake ni muendelezo ule ule wa kudharauliana kati ya waislam wenyewe, mintarafu maneno ya mwalimu Nyerere kuwa "Mtu akikudanganya, na yeye anajua kuwa unatambua kuwa anakudanganya, na wewe ukamkubalia, Anakudharau".

Hapa hamna cha sana zaidi tu ya waislam wa hako kagazeti kuwadharau waislam wenzao. Badala ya kuwahimiza waislam wenzao wakazanie ilmu dunia kwa kwenda shule wao wanacapitalize kwenye ujinga wa waislam walio wengi kwa faida ya ccm iliyowadidimiza waislam hao kwa miaka nenda miaka rudi. Ni ujinga ulioje huu??!!

Nakumbuka Nyerere alitumia maneno ambayo, baadaye, hawa wasomi uchwara, na wapumbavu, wakataka kuyapa hayo maneno mujarab ya Nyerere tafsir hizi hizi za kishenzi; mwalimu alitumia maneno kwamba "I cant let my country go to the dogs": tafsri ya moja kwa moja hapo (direct translation kama inayofanywa na haka kagazeti uchwara) itakuwa mwalimu alimaanisha "siwezi kukaa kimya niache nchi yangu itawaliwe na ma mbwa". Basi wasomi uchwara, na bila shaka walikuwepo hawa wa haka kagazeti, wakashadidia eti Nyerere kawatukana watanzania wasio wanaccm kuwa ni ma mbwa!!!!!

Ndiyo maana mimi huamini kuwa ni kweli kabisa watu wanaposema kuwa ccm imedumaza kabisa elimu ya nchi hii, kwa walio wengi, ili idumishe ujinga wa walio wengi kwa minajili ya kuiwezesha kuwapumbaza na hatimaye kutawala milele isivyo halali. Watanzania wengi, hasa waislam, wanaangamia si kwa kupenda bali kwa kukosa maarifa walionyimwa, na wanayoendelea kunyimwa, kwa miaka mingi, na serikal ya ccm. Ubaya zaidi ni pale waislam wenzao walioona mwanga kidogo wa ilmu, badala ya kuwatoa wenzao kwenye hayo maangamizi ya ccm, kwa kuwapa ilmu na kuwakazania waende shule, wao ndo kwaaaaaaaanza wanawasokomezea kabisa wenzao kwenye shimo la umauti wa ccm.

Na hili si jambo la kushangaza wala la bahkati mbaya. Dini hizi za kuja(dini za kikoloni) zimetumika sana kuchochea chuki, mapigano, vita na dhulma dhidi ya jamii mbalimbali duniani. Maisha mengi sana yameangamizwa kwa kuchochewa na dini hizi ambazo zilianzishwa huko mashariki ya kati na kuenezwa maeneo mengine duniani. wachochezi wa dini hizi za kuja, huku wakijifanya waaumini wa Mungu, wanajificha nyuma ya dini hizi wakijifanya kuubiri wema wa Mungu huku nia yao hasa ni kuubiri uzandiki, fitna na chuki wakiwa na kiu ya kuona mifarakano na kuchinjana kati ya ndugu na ndugu.

Huwa napata shida sana napomuona mswahili wa kinyerezi anajinasibu sana na mwarabu, kajitwika vilemba na kanzu, kifimbo mkononi na kijastibikozi chake basi anajiona eti yeye naye ni mwaaaaaaarabu kweli kweli na anafikia hata hatua ya kuwadharau waafrika wenzie, ambao kihakika kabisa ni damu yake ya karibu kuliko hao waarabu. Ni ajabu kuwa Waafrika wanapendana zaidi kwa kujiita ndugu katika imani (za kuja/kuletewa) kuliko wanavopendana kwa kujiita ndugu wa/katika damu!!!!

Dini inapofikia kiwango cha kutumika kueneza ubaya na uovu kwa kiwango hiki, tena uovu dhidi ya ndugu wa damu moja, basi dini hiyo inapoteza kabisa u maana wake na inabakia kuwa ushenzi tu sawa na uchawi na ushirikina.

Ni wajibu wa waislam wanaoijua vizuri dini yao kukataa dini yao kugeuzwa ushenzi kama wafanyavyo waandishi kama hawa wa gazeti hili la Al-Huda. Ni wajbu wa waislam waliobahatika kupata ilmu dunia kuhangaika kuona kuwa, jamii yao ya kiislam, ambao wengi wao hawajabahatika kupata ilmu kama wao, nayo inapata ilmu kwa kuweka miundombinu na kuwahimiza waislam kuitafuta ilmu.

Mtume (saw) amesema "itafuteni elimu ijapokua iko ktk miji ya china, kwani kutafuta ilimu ni wajibu wa kila islamu" (Ibnu Abdul-Bar). Mtume (saw) akaongeza "sadaka iliyo bora ni islamu kujifunza ilimu, kisha akamfunza mwenzie"......sasa cha ajabu hawa kina ritz, aL-hUDA, faiza foxy na wenzao wengine wa kaliba yao, badala ya kuwafunza waislam wenzao ilmu wao wanawajaza ujinga na upumbavu mtupu, nia ikiwa ni kuisaidia ccm iendelee kuwatawala, kuwanyonya na kuwakandamiza waislam, na jamii nyingine za watanzania, daima.

Mwalimu alionya - Nanukuu;

"Wale wenye bahati ya kupata elimu, wanao wajibu wa kulipa jasho ambalo wengine wamejitolea. Ni sawa na mtu aliyepewa chakula chote katika kijiji chenye njaa, ili apate nguvu za kwenda kuhemea katika sehemu zilizo mbali. Mtu huyu akipokea chakula hicho na halafu asiwaletee ndugu zake, basi yeye ni msaliti…".

Hapa, Mwalimu alikuwa akiwakumbusha vijana wasomi, tena wa dini zote wakiwemo waislam, wanaopata elimu kwa jasho la Watanzania kutumia elimu yao kwa maendeleo ya wananchi badala ya maendeleo binafsi, au kwa manufaa ya kikundi (chao) cha kitabaka nchini. Kufanya hivyo ni usaliti kwa umma. Waandishi uchwara wa kagazeti ka Al Huda wanausaliti na kuudhalilisha umma wa Kiislam, wanawadhihaki na kuwang'ong'a kuwa hawana ilmu kwa kuwapa tafsir za kidhalilishaji, kijinga na kipumbavu kesha wanakaa pembeni wakiwacheka kwa jino pembe, wakiwaangalia waislam wenzao wakivurugana kwenye tope la ujinga, huku wenzao wasio waislamu, na ni wakristo to be precise, wakichanja mbuga kujiwekea miundo mbinu ya ilmu kila kona, kukwea vidato na vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Matokeo ya muda mrefu ya haya ni waislam kuzidi kuachwa nyuma kielimu na kimaendeleo na mwishoni kuishia malalamishi yasiyoisha

Waislam wema kote nchini tunawakumbusha tena na tena, na ni kwa nia njema tu na kama hutaki unaacha....shtukeni sasa dhidi ya huu upumbavu mnaojazwa, Vuteni shuka sasa kabla hakujacha kabisa, la msivute shuka milele.

 
Vijigazeti uchwara hivi.havina habari ya maana siku zote.ukivisoma utagundua vinapandikiza chuki ya udini tuu.havina ajenda zaidi ya hilo.mamlaka husika ziruatilie vigazeti hivi na wachukue hatua zinazostahili.tabia hii inakera.
 
Msigwa angekuwa muungwana kama angesema CHADEMA ni kama nyumba za ibada, lakini bwana huyu uvumilivu umemshinda ameona bora tu amwage mboga lolote na liwe "CHADEMA ni kama kanisa" Teh teh teh siasa hizi!
 
ha ha ha,ndo mmesoma ili kuja kufanya ufisadi eeh?,mnaiba kwa kalamu,hivi hujiulizi kwanini zenj hakuna ufisadi kama wa meremeta?
Hahahaaa usintake ncheke.Zenj wana nini cha kuibiwa tofauti ya huko na Somalia ni ndogo sana.
 
Gazeti limeripoti kama alivyosema Mchungaji wa Chadema Msigwa.

Kasema kweli Chadema ni kama Kanisa.

Sasa hapo unalishambulia gazeti kwa kosa gani, wewe umejuaje kama Mchungaji Msigwa alikuwa hana maana hiyo.

Ni sahihi, kwani misikitini kuna toba? si kukatwa viungo tu? Lowasa akienda msikitini atakatwa mikono , kanisani anatubu na kusamehewa, Chadema wanadai wao husamehe, where is the problem?
 
Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa

Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe

Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa

Hakuna tatizo ktk hilo.Anayemaindi ni mchimba chumvi tu.Mbona Yusuph Makamba alikuwa anaquote sana vifungu vya Biblia kufafanua maswala na mara zingne kimakosa lakn watu hawakujali?Kwani hatufahamu kuwa Kanisa lipo na lina utaratibu huo??Kwani yote yanayofanywa na Kanisa ni mabaya kwa Waislamu?
 
Nimefadhaishwa sana na gazeti la Al-Huda litokalo kila wiki toleo na.523 SHAWWAL1436 la tar23-29, Julai 2015 Uk wa mbele limepambwa na maneno.

Msigwa: CHADEMA kama kanisa
*Asema wanahubiri habari ya wokovu
*Wanachama waislamu sasa mashakani

Kimsingi kauli hizo ni za kichochezi dhidi ya waislam na wakristo! Ifahamike kuwa Mchungaji Msigwa(Mbunge wa Iringa) alitoa kauli hiyo kifalsafa kumkaribisha Lowassa ndani ya Chadema! Msigwa alisema "...CHADEMA ni kama kan Amina kaka! These fuckers know what they are doing and could not do it under a government other than of JK. Nashangaa anayefungiwa ni Mwanahalisi tu.
 
Credible Viewer

Wewe umejuaje kama hiyo kauli ya kufaninisha Chadema na Kanisa ilikuwa ya kifalsafa?
Ritz, Madabida alimfananisha Lowassa na Mtume Muhamad S.A.W. Hebu nitafutie kipande cha Alhuda kilichokemea KUFRU kubwa namna hiyo kiweke hapa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wanaweka uchochezi pasipo uchochezi ,mwandishi huyo hajaelimika na tukifuatilia kiwango cha elimu yake inawaza kua aibu,tumwombe Mungu ampe uelewa
 
Ritz, Madabida alimfananisha Lowassa na Mtume Muhamad S.A.W. Hebu nitafutie kipande cha Alhuda kilichokemea KUFRU kubwa namna hiyo kiweke hapa.

Na Makamba akiwa katibu mkuu wa ccm ameshawahi kumfananisha JK sawa na Yesu wa Nazreth lakini hawa mazuzu wote kimya.
 
Last edited by a moderator:
Mbona unataka kukwepesha mada? Kwa sasa hatujadili hiyo. Nenda katafute muktadha wake, muda na mantiki yake. Ikiwezekana wasiliana na aliyeitoa (unaweza pia kuanzisha thread) na bila shaka atakufafanulia alimaanisha nini japo to me it sounds like kind of law of existence...
Mkuu kama wewe ni "msomi" nitashangaa sana. Huwa sielewi hili neno la kukwepesha maada.
 
Msigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa

Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe

Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa


Kama kanisa linabadilisha watu kutoka kuwa waovu kuwa wema, kama vile shule inavyokusudiwa kubadilisha watu kutoka ujinga kuwa na maarifa, kuna ubaya gani Msigwa kutumia mifano hiyo iliyo dhahiri?

Wewe kwako kanisa ni chukizo?

Unataka aseme shetani ndiye anafanya wtu kuwa wema?

Kweli u.p.umbavu ni utumwa kama ilivyo dhambi.

Sasa amesema na Watanzania tumemwelewa. Wewe na bichwa loko lililojaa ushen.zy wa kishetani ndiye unajua unachokitafuta. Na umpu.m.b.avu wako utakuua, utake utistake.
 
As a politician you need to play with the rules of political correctness, Mchungaji Msigwa should know that.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom