Jeshi la Rwanda

Jeshi la Rwanda

100% Ile intofahamu /Vuguvugu Lililotokea Mwaka Jana kati yeu na Hawa Watsi,Siyo Siri Kama Tungeingia Vitani, Ni wazi Tungeupata Ushidi, Ila Wapiganaj wetu Wengi Wangeangamia Kwa Sababu ya Hivi Vimwanana.

Kwa nini Niseme Hivyo; Hata Biblia Inatumbia Samson, yule Shujaa Mwenye nguvu za Kutisha, Wafilisti Baada ya Kumsoma Kwa muda Mrefu Waliamua Kumtumia Kimwana Delila...

Hata Hivyo Kama Unaombea Kwenda Mstari wa Mbele,Hautawaona hao Vimana kwa Maana wanaonekanaga Baada ya Kuisha Vita pale Wanapokuwa defeated. Utawakuta wameshavua magwanda wakiwa raia wa kawaida.

Usiombe Kukutana nao wakiwa civilian,Utumbo lazima Ukuchomoke na Unafahamu yale Mavisu na Mindu Waliyokuwa Wanaitumia Kwenye mauaji yao ya Kibali ya 1994.

Usiombe Kukutana na Mtsi kwenye territory yake. Waulize WaUtu Utapata Habari yako...

Teh teh the!; formula yetu no hii > W W W!!
W=War!
W=Whisky!
W=Women!
Hakuna zaidi wala pungufu :fencing:
 
na ni wanajeshi,mbona hapa kwetu wanawake wanaoenda jeshini sura ngumu
Bongo hii wanawake wazuri wachache sana ukichangia uanduje ndo usiseme.
Hawa wadada wazuri huku bongo mwanzo nilijua sifa ya kwenda jeshini lazma uwe na sura ngumu mbovu mbovu kwa wanaume na wanawake ili upate qualifications. Kumbe siyo
 
Bongo hii wanawake wazuri wachache sana ukichangia uanduje ndo usiseme.
Hawa wadada wazuri huku bongo mwanzo nilijua sifa ya kwenda jeshini lazma uwe na sura ngumu mbovu mbovu kwa wanaume na wanawake ili upate qualifications. Kumbe siyo
kwetu sura nzuri wanakuwa mavideo queen,ila hiyo picha ukiangalia wote warembo but kama walaini
 
Sio kweli kwamba wote hapo ni watusi hata wahutu wapo ni sawa na Tz kila kabila lina wanene na wembamba
 
Kiukweli kila nionapo mabinti wa Rwanda na Ethiopia hunifanya noghairi maamuzi yangu ya kuvuta kimwana wa kibongo.

Mkuu Viol na falcon mombasa ebu tupieni izoefu wenu juu ya hawa viumbe ukiachilia mbali uzuri wa kutungua walionao je nao wana tamaa kama hawa jinsia ya kike ya dada zetu wa kibongo?

wanawake wa ethiopia wanaishi maisha yoyote hata vitumbua atachoma,unajua wenyewe wanajiona wabaya amini usiamini.ila ukiwaona cha kwanza utajua ni halfkast wa kizungu na mwafrika,inshort ni kama uwaonavyo watoto wa kibrazil katika mitaa ya favela na rio de janeiro.waethiopia wanaish maisha yoyote .ukiingia nae kwenye daladala zetu hapo bongo lazima watu wote wakae kimya wawatazame nyinyi tu .uzuri wa wanawake wa ethiopia tayari ulishatajwa hata katika bible na quran
 
Last edited by a moderator:
Ikitokea vita naomba nipelekwe mstari wa mbele

11012965_832074016889581_8887604000070887254_n.jpg
mbona karibia wote wanaonekana watutsi? wahutu huwa hawapelekwi mafunzo? kagame mbaguzi sana lakini ni bomu litakalokuja kumlipukia mwaka mmoja mbeleni. amejaza watusi tu kwenye jeshi, wahutu wamebaguliwa.
 
ni balaa hao
 

Attachments

  • IMG-20150716-WA0003.jpg
    IMG-20150716-WA0003.jpg
    98.3 KB · Views: 375
mmoja ni mwnachamana wa chadema huoni alivyonyosha kidole
 
Ni kweli wanawake wa kitutsi ni wazuri ila Tanzania kuna wambullu na warangi ambao ni habari nyingine.
 
ila hayo maviatu ya plastic yamewashuia hadhi ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom