wewe siyo mkatoliki.kama hatuamini katika ushirikina sasa cha ziada unataka nini?kwani hayo maneno aliyotamka yamebadilisha imani yako?
Nitake radhi Mkuu. Mimi ni mkatoliki kindakindaki
na ile kofia ya papa yenye maandishi ya 666 huwa ina maana ipi?afanye haraka kabla hatujamshughulikia. Sisi wakatoliki hatuamini ushirikina. Aharakishe
Kama amesema hivyo ametukosea sana wakatoliki kutudhiki na kututukana atuombe radhi mambo ya Dini za watu waheshimiwe yeye ni Muislam kitendo cha kutukashifu hakikubaliki na tuwatake TCRA wamchukulie hatua mara moja au kituo kizima cha Chanel Ten hii cyo sahihi kutukana au kudhihaki Dini ya watu wanayoiamini ni makosa naamini TCRA watamchulia hatua au Chanel Ten ili liwe fundisho kwao
Kwa sababu ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria Tanzania unahusiana kwa kiasi kikubwa na watawala hivyo mtu akishaonekana kuhusiana kwa njia moja au nyingine na hiyo class moja kwa moja naona ni mwendelezo yanayofanyika (hawezi kuleta mabadiliko) na natilia mashaka uelewa wake!Kisha Na Yeye Mwenyewe KIBWANA DACHI Kupitia Radio Yake Hiyo Hiyo Anayoifanyia Kazi Ya Magic FM Na Kwa Ukubwa Na Umuhimu Ule Ule ATUOMBE RADHI Sisi WAKATOLIKI Wote Nchini Tanzania Kabla Na Sisi Hatujachafua Hali Ya Hewa Kuanzia Kwa Dini Yake ( Ambayo Tunaijua ), Alichokifanya Mzee Wake Wakati Akiwa Afisa Mwandamizi Wa Jeshi La Polisi, Maisha Yake Binafsi Na Bila Kusahau Na AFYA YAKE Kiujumla.
Biblia ni sehemu ya mapokeo yaliyoandikwa. Biblia haikushuka kama vitabu vingine.mkuu soma historia ya kanisa katoliki utajua vzr. tatizo lenu ni kukariri mapokeo , hamfanyi jitihada ya kujua ukweli . hunahaja ya kutaka kuombwa radhi. huko duniani makanisa yanafungwa sijui kama unalijua hilo.