Recent content by Happy mBISE

  1. H

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    RIP Shehe, Pole sana JK kwa kuondokewa na mhimili wako(Mtabiri wako)naamini taarifa umeshazipata maliza kikao uje umzike swahiba wako
  2. H

    Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

    Kweli anazungumzia Monduli maana wale bado ni vilaza, sio Arusha hii tunayoijua sisi, Lema anakubalika A town asikwambie mtu
  3. H

    Mr president ahadi ni deni-1

    Hii kali, ****** anatakiwa acheck hizi picha then arudi kwenye ahadi. Bonge la kichekesho kwa wadanganyika wenzangu
  4. H

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Tunawapa pole wafiwa na tunaziombea roho za marehemu wapumzike kwa amani. AMEN
  5. H

    Hujuma dhidi ya ndesamburo

    Hata wafanyaje Moshi ni ya CHADEMA, Kumzuia Ndesa kusaidia watu wake kwa kuona kama wanawakomoa watu wa Moshi hapo ndio wamechemsha, ndio wanajiharibia kabisaaa. Mi sijui kwa nini huyo chami ni KILAZA kiasi hicho na hana upeo wa kufikiria. CHADEMA FOREVER piga uwa galagaza. Hao watu wa CCM...
  6. H

    Bunge liombe radhi

    Mi nashimdwa kuelewa, huenda hawa wabunge wa CCM wote fani yao ni kuimba taarabu na pale sio mahali pao, na wapo pale kwa sababu wao ni wachakachuaji wa kura zetu siku zote vinginevyo wasingekuwapo mahali pale. Wanaudhi sana na siwapendi. Chadema kaza buti waonyesheni kuwa nyie ni vichwa...
  7. H

    Sitta hawakutaki jiondoe mapema kwa heshima

    Its true kabisa, bora ajiengue mapema kuliko aje kudhalilishwa , ipo siku tu
  8. H

    Kunyang'anywa kadi

    Awanyanganye kadi wapi, Jk ni msanii, tunapigwa changa la macho
  9. H

    Makamba: Msifadhaike!

    Huo ni mwanzo kwa CCM, Finally 2015 Chadema watakapochua nchi. Peoplesssssssssssssssssssss poweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
  10. H

    Kauli ya Lema

    Hongera Lema wana Arusha tunakukubali. Big up
Back
Top Bottom