Kauli ya Lema

Kauli ya Lema

Jamani sioni mahali pa kugonga nipate kusikiliza hako ka songi!!! Nifanyeje?
Msaada kwenye tuta plizzzzz!!!!
 
Hakika umenifanya nifumbue macho, najiuliza CHITAMBALA wa mbeya aliyajua haya au ndio ana agenda gani ya siri na CCM?
 
Anastahili kuchukua nafasi ya zitto
 
Godbless as the name it's real no doubt about him his real a blessed with our almighty God ,what we all should know it's very important to keep pray for him .His a very good example of what a MP should be.Big LEMA and i sincerly congratulation all voter of AR for select him
 
Lema ni mwanamapinduzi wa kweli naamini wajukuu zetu watakuja kumsoma vitabuni. Sina cha kuongeza huyu jamaa ni kiungo muhimu sana chadema. Mungu akupe heri kaka.
Ni kweli mkuu...
 
Kweli Mungu hawezi kukupa kazi halafu akaacha kukupa maarifa ya kuifanya hiyo kazi, It's so touching.. Lema ataendelea kuwepo hata kama maisha yake duniani yatafika kikomo lakini katika roho za watanzania mtu huyu atabaki daima.. Tunaomba kama singo hii iko kwa ajili ya kusaidia mapambano basi isambazwe nchi nzima si katika ofisi za Lema tu arusha...

FREEDOM IS COMING TOMORROW!!!
 
tatizo jf siku hz mmekuwa mashabiki wa simba na yanga

Ingekuwa vyema ungeelewa nini maana ya forum.
People speak their minds, problems etc. Mwalimu yuko darasani anafundisha madhara ya ukoloni, na humo darasani kuna wanafunzi waliokuwepo wakati wa ukoloni na wengine wamezaliwa miaka ya 80. Wanafunzi ambao watakuwa na uelewa zaidi wa hayo madhara ni wale ambao walizaliwa wakati wa ukoloni kwa sababu walishuhudia udhalimu huo.

Watanzania wa leo wanashuhudia jinsi Taifa linavyoibiwa, kundi la watu wachache wanavyohangaisha uchumi na hali ya usalama kwa Taifa letu. Vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hakuna ajira, maisha yamekuwa magumu, kiwango cha elimu na ethics vimeshuka. Sasa Chadema wakizungumzia jinsi ya kudai haki za mtanzania, ooh "mmekuwa mashabiki wa Simba na Yanga"
Mmh sasa watu wanyamaze kwa sababu Superfisadi atawasema?
 
Nafikiri kipigo alichopata kwa kutolewa na polisi kwenye ukumbi wa jiji pamoja na matumizi ya uongo ya CCM dhidi ya CHADEMA yanamfanya Lema kuwa chuma cha pua. Misukosuko huongeza ujasiri, Jamaa anajua sana ku-connect na voters pamoja na watanzania na ninafikiri CCM wakiona hivi ndiyo wanamwona ni mchochea vurugu. Big up Lema
kuna recodi zake za kipindi za kampeni kabla hajaanza kupigwa pigwa na polisi ukiyasikiliza yanaconnection na haya aliyoyaongea kwenye record yake hii hivyo sidhani kama kupigwa ndiyo kumesababisha labda yameongeza...
 
Hakika umenifanya nifumbue macho, najiuliza CHITAMBALA wa mbeya aliyajua haya au ndio ana agenda gani ya siri na CCM?

4get about him kumbuka tanzania itajengwa na wazalendo wa kweli na sio ma ndunya kama hao kina CHITAMBALA .
Bravo mkuu Lema tupo pamoja
Kama kunauwezekano hii ingesambazwa i mean kila unapofanyika mkutano mahali waisambaze kwa watu kwa kuchangia chama kiasi chochote cha fedha na naamini mwitikio utakua mkubwa tu.
 
Kwanza kwa Lema, ulipotaka kutoa ushahidi kuwa Pinda kadanganya bungeni spika akakataa usilonge mjengoni bali mkaonane 'faragha' na huko umpe mambo yako. Na Lissu pia majuzi nimekuona umeng'aka na Ngeleja kudanganya na wewe pia umealikwa 'faraghani' ukampe spika mambo yako; sasa swali - huko faraghani mlifanya nini na matokeo yake ni yapi? Maana huu utakuwa uhuni sasa, waziri anadanganya na nyinyi mambo mnamalizia faraghani.Naombeni jibu hapa jukwaani. Mbona Zitto aliposhambulia uongo wa Karamagi alipigwa chini vikao kibao na hakuitwa faraghani? au ni kwa sababu enzi zile spika hakuwa mwanamama?
 
Kwanza kwa Lema, ulipotaka kutoa ushahidi kuwa Pinda kadanganya bungeni spika akakataa usilonge mjengoni bali mkaonane 'faragha' na huko umpe mambo yako. Na Lissu pia majuzi nimekuona umeng'aka na Ngeleja kudanganya na wewe pia umealikwa 'faraghani' ukampe spika mambo yako; sasa swali - huko faraghani mlifanya nini na matokeo yake ni yapi? Maana huu utakuwa uhuni sasa, waziri anadanganya na nyinyi mambo mnamalizia faraghani.Naombeni jibu hapa jukwaani. Mbona Zitto aliposhambulia uongo wa Karamagi alipigwa chini vikao kibao na hakuitwa faraghani? au ni kwa sababu enzi zile spika hakuwa demu?


Siwezi jadili sana!!!
 
Umeanza vizuri lakini mwishoni umeharibu.
Subiri, huenda ukajibiwa.
 
kwa muundo wa hii thread subiri majibu yake uyaone! Uumeanza vizuri sana ila kumalizia sasa ndo umeharibu
 
Back
Top Bottom