Recent content by Hans makini

  1. H

    Kuna nini; Mbona Darasa yupo kimya sana?

    Msizibebe dhambi za kujitakia aisee,
  2. H

    Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

    Hiyo aya ya mwisho ndo imevunja mbavu walah.
  3. H

    Ufalme na u-mungu mtu wa clouds unasimikwa na wasanii wenyewe

    Kwenye wimbo wa Bongo Hip Hop wa FidQ kuna mstari unasema hivi:- "Sio tu BONGO mpaka NG'AMBO hakuna UHURU wa HABARI... kuna uhuru wa mwenye CHOMBO, MITAMBO na mwenye MALI... Kujifanya hawasikii, haiwasaidii, wala HAIWAJENGI... Unachosema ni kamwe IPP haitompinga Mengi." Mstari huu unanifunza...
  4. H

    Clouds lazima watambue kuwa hawana nguvu ya kufanya kila watakacho

    UFALME NA U-MUNGU MTU WA CLOUDS UNASIMIKWA NA WASANII WENYEWE. Kwenye wimbo wa Bongo Hip Hop wa FidQ kuna mstari unasema hivi:- "Sio tu BONGO mpaka NG'AMBO hakuna UHURU wa HABARI... kuna uhuru wa mwenye CHOMBO, MITAMBO na mwenye MALI... Kujifanya hawasikii, haiwasaidii, wala HAIWAJENGI...
  5. H

    Mjadala: Kwanini vichaa hawaugui ovyo?

    Unaposema ni aghalabu una maanisha ni mara nyingi au mara kwa mara. Aghalabu haibebi UCHACHE wa jambo inawakilisha WINGI. Hivyo kichwa cha habari kipo tofauti na maelezo uliyoyatoa.
  6. H

    Mada Moto: Hivi ni sahihi kumchukia baba yako mzazi ambaye alishindwa kukusaidia kipindi akiwa na uwezo?

    "Sikujali baba ni mtu gani nilichohitaji ni kumjua.., anishike mkono nisiende mtaani ndoto ambayo haijawahi kuwa." -FidQ
  7. H

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Hahahahahahahhhhhhh! Ninachokigundua toka kwako huwa uhishughulishi akili yako ila unapelekwa kama ling`ombe
  8. H

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Hata mimi ni mmoja kati ya wale ambao tunaojihuliza inakuaje Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa na kadi ya chama cha Siasa lkn baada ya kuanza kutoa ufafanuzi wa kisheria na kuanza kutaja makundi matatu ambayo hayatakiwi kuwa ni mwanachama wa chama cha siasa, nikajua sasa hapa fumbo...
  9. H

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Ila pale wapinzani tumechemka kwa kuanza kumpigia kelele, kaulizwa swali lenye mtiririko mrefu na atajibu husika lilikuwa linakuja kwenye mtitiro ulioendana na swali.
  10. H

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Ila kwanini wakati anaanza kufafanua makundi ambayo hayapaswi kuwa sehemu ya serikali na wanachama wa siasa zikaanza kelele? Kwa nini wasimpe uhuru wa kujibu swali lake? Ili na sisi ambao hilo jambo lilikuwa linatutatiza tungepata jibu kwa ufafanuzi wa kisheria.
  11. H

    Mshahara wa Mbunge wa Tanzania ni shilingi ngapi?

    Mbunge mshahara wake haukatwi kodi
  12. H

    Magufuli akifuta kitengo cha Lishe cha rais na Dawati la wageni Ikulu

    Lakini bado Afisa wa ikulu anasema kitengo hicho akihusiani na chakula cha Rais.
  13. H

    Team Lowassa ndani ya CCM watafanyaje kazi na Magufuli

    Kauli ya kujiliwaza hiyo,
  14. H

    Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

    Sheria ya kujenga kandokando mwa barabara inasemaje? Mbona wengine tunavunjiwa nyumba zetu, akivunja itakuwa sawa tu maana huwa wanasema sheria "MSUMENO"
Back
Top Bottom