Mshahara wa Mbunge wa Tanzania ni shilingi ngapi?

Jamani baada ya makato tunapata million 18 tu kwa mwezi hiviyo siyo nyingi kihivyo hasa ukizingatia majukumu
 
Ina tegemeana na uchangiaji wako bungeni
ukiwa kimya kama mr. WHite hair ujue utaambulia
mshahara namba ya kiatu...ila ukiwa vuvuzela kama
lissu na mnyika mshiko wako unakuwa unakaribia wa spika.
 
Ukiangalia mshahara kwa wabunge utapotezwa, wana marupurupu kibao nje ya mshahara. Hawalipi kodi hata wakiagiza mali toka nje. Bunge lilopita walipewa milioni tisini za kununua gari kama mkopo kila mmoja, lakini kurudisha ni milioni arobaini na tano tu, yaani nusu yake ni bure.
 
Ina tegemeana na uchangiaji wako bungeni
ukiwa kimya kama mr. WHite hair ujue utaambulia
mshahara namba ya kiatu...ila ukiwa vuvuzela kama
lissu na mnyika mshiko wako unakuwa unakaribia wa spika.

hahaha!!! mkuu unafaa sana ukijiunga original comedy
 
mshenzi, kama hujui si utulie. Halafu ww jamaa unafanya kaz kweli maan kila nikifungua jf nakutana na coments zako tu tena za hovyohovyo tu! Nan anakulisha wewe?

nalishwa na mke wako ,, mimi ni niko ambae niko, kama hupendi comment zangu jinyonge.. Kwa taarifa yako niko Marekani Miami Beach
 
Mshahara pamoja na hela mafuta ambayo wanapigiwa hesabu ya lita 2500 ni karibia 12m.
 
Back
Top Bottom