Cold Free
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 236
- 425
anaweza kuyapata hayo magonjwa uliyoyataja,lakini ni kwamba hawezi kukuambia au kwenda hospitali,mtu anaweza akapimwa akagundulika ana magonjwa mengi at the same time nazungumzia ugonjwa anaoweza kupata baada ya ukichaa wake mfano tumbo, kipindupindu,tyfod etc
unaweza kumuona amejiharishia au kujinyea na nzi wengi wanamfuata ukadhani sio ugonjwa wa tumbo bali ni kwasababu ni kichaa ndio amejinyea.