CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

Mleta mada najua unajua cheo cha Dr tulia kilikuwa na muhimu gani katika taifa na katiba inasemaje kuwa mtumishi Wa umma autakiwi kujiushisha na siasa sasa huyu Dr aliyejiuzuru unaibu mwanasheria mkuu siku moja na kuchaguliwa kiti maalum na kugombea unaibu spika alijiusisha na ccm lini na kama alikuwa mwanachama kwa nini alikuwa anavunja katiba na yeye ni msomi Wa sheria aliyebobea
 
Hivi wimbo wa watumishi wa umma kutojihusisha na siasa ulikuwa unaimbwa na chama gani?Leo hii mnaumbuka mnafunika kombe!
 
Mwanaume anayeweza kutoa post ya namna hii ni mwanaume ambaye ana element za homoni za kike pekee na si vinginevyo.
Endelea na ujinga wako wa kujidhalilisha kila siku bila kuangalia umri wako!
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Hahahaha

ANNA MAKINDA: wa bunge nyamazeni nimemteua lissu akusaidie

Mwansheria mkuu:nimekubali mapendekezo ya lissu lakini siyaungi mkono
 
‪- Lowassa‬ aliingia Chadema saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# Chadema.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia Chadema Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo Chadema wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation
Huwa nakukubali sana ingawaje tuna utofauti wa kimitizamo ya kisiasa
Mara nyng huwa naheshimu maada zako japokuwa huwa zinalenga upande wenu watawala lakini kwa hili la leo umekurupuka braza embu tulizana mapepe
Le mutuz nation
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Watanzania sijui nani katuloga basi baada ya kumuona mtu kakariri mnamuona wa maana..kakariri hakuna haja kama kuna vyombo kama computer. ..huwez fananisha uwezo wa yule mama wa cuf na Dr tulia
Nyie ndo wale mtu akiongea kingereza mnamuona eti kasomaaaa. ..kukariri vifungu adi watoto wadogo wanafanya
 
nashangaa kuona mgombea wa spika ambae mwanasheria anashindwa kujibu swali na kubebwa na spika alafu mtu mpuuz anakwambia vifungu anavyo kichwan vya katiba

Ila pale wapinzani tumechemka kwa kuanza kumpigia kelele, kaulizwa swali lenye mtiririko mrefu na atajibu husika lilikuwa linakuja kwenye mtitiro ulioendana na swali.
 
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha

le Mutuz
Teh Teh Lemutuz utawauwa bavicha na utawafanya wabadili gia angani
 
dr. tulia kaulizwa swali zuri lakini kashindwa kujibu. yaani wasomi wetu wengi ni shida...

Hivi kwani 2020 atagombea jimbo analoenda kuliacha Dr aliyeikana thesis yake? maana hawa jamaa wa ukanda huu huwa hawafiki mbali kwenye mbio za kisiasa sababu wamejaa unafiki tu, tumewaona maprof wawili na Dr mmoja wameishia wapi
 
Swala hapa tulitaka kujua aligombea uspika bila kadi ya uanachama au alikuwa tayari ni mwanachama wa ccm. Na kama alikuwa tayari ni mwanachama wa ccm kwa nini aliendelea kuwa AAG.
Kadi ya HAJI DUNI cdm aliichukua saangapi? acheni umbumbumbu hamuwezi kuwa wapinzani WAJINGA KIIVYO
 
Watanzania sijui nani katuloga basi baada ya kumuona mtu kakariri mnamuona wa maana..kakariri hakuna haja kama kuna vyombo kama computer. ..huwez fananisha uwezo wa yule mama wa cuf na Dr tulia
Nyie ndo wale mtu akiongea kingereza mnamuona eti kasomaaaa. ..kukariri vifungu adi watoto wadogo wanafanya

Mama wa CUF zaidi ya kuwa hawara wa Maalim Seif sioni cha maana kwake. Kuongea hajui...amejaa mihemko tu. Elimu ndogo..sijui kidato cha sita huko. Bunge letu tunataka liongozwe na wasomi. Spika ana masters...naibu ana PhD. Hayo ndio tulikuwa tunayataka. Na yamekuwa.
 
Ila kwanini wakati anaanza kufafanua makundi ambayo hayapaswi kuwa sehemu ya serikali na wanachama wa siasa zikaanza kelele? Kwa nini wasimpe uhuru wa kujibu swali lake? Ili na sisi ambao hilo jambo lilikuwa linatutatiza tungepata jibu kwa ufafanuzi wa kisheria.

Hili swala limeshangaza kila mtu UKAWA walikuwa hawataki aongee kabisaaaaa walitakiwa wampe nafasi kujibu maswali kwa ufasaha kiukweli upinzani umetia aibu sana wanamuogopa sana Dr.Tulia.
 
Mama wa CUF zaidi ya kuwa hawara wa Maalim Seif sioni cha maana kwake. Kuongea hajui...amejaa mihemko tu. Elimu ndogo..sijui kidato cha sita huko. Bunge letu tunataka liongozwe na wasomi. Spika ana masters...naibu ana PhD. Hayo ndio tulikuwa tunayataka. Na yamekuwa.

- Mkuu utaumiza ubongo wako na hawa nyumbu wanatumwa kukimbia tu ulimsikia Mzee Mkapa siku ile Jangwani alisema nini kuhusu hawa nyumbu hahahahahahaha

le Mutuz
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

lazima wamuogope na elimu zao za kuunga unga
 
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.

kijana umenishangaza sana Leo km elimu yako imeishia hapo pole sana
 
kaka ungekuwa unajua siasa best wako Mosha angeshinda
 
Back
Top Bottom