Recent content by Hammer

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu dada? Yamenikuta leo asbh

    Kati ya hao wawili yupi umemzimia?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    Msongoru kumbe we ni demu!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Ndodi ni msanii kweli.Gharama yake ni kubwa mno hana ubinadamu kabisa. Kupona ni majaliwa. Acha ale za wahindi mswahili hawezi. Kweli anatumia jina la Mungu kujinufaisha.Kuna kipindi alikuwa anajitapa kuwa na magari 8 ya gharam aya m.200 kila moja. Limbukeni tu!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria wa Tanzania(TLS) ni dhaifu sana ukilinganisha Kenya na Uganda

    Mmmh! unafiki na kujipendekeza kwa watawala hatutaacha. Hiyo ndo nguzo yetu TLS.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kuibiwa vioo vya gari na eneo la gerezani Kariakoo

    Nani kakwambia nji hii ina polisi. Serikali imewatelekeza wamebaki kujitafutia wenyewe kama kuku wa kienyeji. Wanakula na waharifu. Kazi kupiga watu mabomu hata wale wanaowatetea wapate maslahi mazuri. Nji hii sasa imeharibika kwa kukosa polisi, watu wanajifanyia wanavyotaka tu! si tunaona...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ni dada yako?

    Dada zetu sometimes wanakuwa malimbukeni kwa kuwashobpkea mastaa.Acha wawadhalilishe.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Stara Thomas!

    Kisha zichanga sana za ubongo wa fleva sasa anatafuta za gospel?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Totozi za Kihabeshi moto

    Za kibongo zinapenda sana vya bure. Zitapendezaje kwa mitumba ya buku ya machinga ya kuning'iniza kwenye henga zenye kutu? ZA KIBONGO WE PIGA KIMBIA ACHIA WENGINE.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dada anatafuta mchumba msaidieni

    Mmmh! huyu nungaembe. Kibaya chajitembeza. Wanaume adimu weweee! Mbona hujatoa sifa zako?:hand: baaaai.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nawatakia weekend njema

    Mmmmh Mungu akifurahi anatoa kitu kweli kweli!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Valentine wangu huyu hapa!!

    Huyo mzee hawezi kitu kimerudi kuwa kama cha mtoto.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Saalaaaleeehh

    No comment!!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kitamu share na wenzio....hii kali

    Hii kiafya sio nzuri kulishana mate aaaaah!!!
  15. H

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje askari kanzu?

    Katika hii "nji" yetu ni vigumu sana kuwatofautisha askari kanzu na polisi. Ni wale wale. Serikali imewatelekeza wanajitafutia wenyewe kama kuku wa kienyeji. Usombe wkushukie watakung'ang'ania hata kwa dogo tu!
Back
Top Bottom