Kitamu share na wenzio....hii kali

Kitamu share na wenzio....hii kali

Lakini kuna m sure ana vuta safari yake kwenye chupa-hayumo kwenye ujamaa
 
Lulindi hatuijui hii, ingefaa kuwafanyia demo pasaka ijayo.

Hii mwanangu hata usitamani! Hufikirii jamaa anaweza kuwa anakunywa huku anarudishis humo humo? Nahisi kinyaa mie. Wala Lulindi usiwapelekee hii haifai jamaa yangu!!
 
mi napenda bia huwa sometime nawish ningewekewa pipa niwe nafyonza kwa style hii nonstop
 
Lakini kiafya inakubalika kweli, TB na vitu kama hivyo, badu sikubaliani nahii tabia si njema hata kiduchu!!
 
Kwa sasa wana enjoy utamu wa kinywaji, mwishoe watajutia machungu ya maradhi watakayoambukizana. Hii kiafya hajakaa vizuri.
 
Kwa sasa wana enjoy utamu wa kinywaji, mwishoe watajutia machungu ya maradhi watakayoambukizana. Hii kiafya hajakaa vizuri.
Hapo ndo safi!
Hakuna anayeugua hapo wote ni immune!
Mbona Denda mnakulaga hapa mnashangaa.?
 
Hii inatumika sana Uganda!! Kila inapopungua, wanaongeza maji ya moto mpaka mwishowe wanajikuta wanakunywa maji. Ikifikia stage hiyo, kila mmoja anaondoka kivyake...

sasa kwanini wasiongeze pombe wanaongeza maji wanatoa utam wote wa rubisi.
 
Huo ni uchafu mtupu, sielewi kwa nini taasisi husika iruhusu kitu kama hicho. Mtu anavuta hicho kinywaji thru mrija, akikirudisha hicho kinywaji thru the same way kwenye ndoo, then mtu mwingine atakunywa uchafu wake.
 
Inaonekana most of those friends wana tag za pink kwenye vifua vyao, sasa sielewi kama ilikuwa ni siku ya kansa au UKIMWI duniani. Hiyo ni njia mojawapo ya kusambaza pandemic diseases.
 
kitu unganda..mchekii jamaa ambae anywi ana chupa ya bell lagaa.hii pombe ni maarufu sana ug,yani kitu una add maji ya moto tu hahaha
 
Back
Top Bottom