Ungefanyaje kama ni dada yako?

Ningefurahi sana kama angekuwa dada yangu,kwasababu yeye mwenyewe kafurahi alivyofanyiwa,inaelekea kaguswa anapopataka,kama angekasirika nami pia ingekuwa vivyo hivyo!!
 
Wakuu sina hakika kama huku ni kujidai au kumdhalilisha mwanamke. Kama angekuwa ni dada yako ungefanyaje?

amber_rose-ass-grabbed-by-kanye.jpg
Ningemwambia dada unabahati kweli yaani umeshikwa hiyo kitu na supastaa,wenzako zamani walikuwa wanaenda kanisani pale oysterbay ili mradi kushikana mkono na baba wa taifa tuu,sasa wewe umeshikwa mpaka hiyo kitu,dada unabahati kuliko ya mtende kuotea jangwani!!
 
Mambo ya mapenzi hayana dada wala kaka,dadako akishapevuka huna sababu ya kumfuatafuata kwa kuwa ana uhuru wake!!kama mwanaume unavyomfanyia msichana yeyote!!!
Utani ukiwa pembeni,yaonekana AMBER ROSE ana wowowo LAIIINIII!!Ingawa nasikia ameachana na kanye west na anatembea na kijana mdogo wa miaka 17 au 18 hivi.Bidada ametulia
amber_rose_01.jpg
amber-rose-sideshot_360x810.jpg
amber_rose_03-150x250.jpg
 
Mambo ya mapenzi hayana dada wala kaka,dadako akishapevuka huna sababu ya kumfuatafuata kwa kuwa ana uhuru wake!!kama mwanaume unavyomfanyia msichana yeyote!!!
Utani ukiwa pembeni,yaonekana AMBER ROSE ana wowowo LAIIINIII!!Ingawa nasikia ameachana na kanye west na anatembea na kijana mdogo wa miaka 17 au 18 hivi.Bidada ametulia
View attachment 23683
View attachment 23684
View attachment 23685

Sijui nina matatizo ya kuonja, the chick is all tasteless.
 
Yeyote awaye, ikiwa karidhia mwenyewe sio mimi wala wewe wa kumhukumu bali matendo yake.
 
mi ninge kulaa pini tu...inawezekanaa dadaa ako anafanyiwa makubwaa zaidi
 
...Nadhani pia kuna suala la pesa hapo. Jamaa ana Noti. Anaweza kufanya chochote kwa yeyote na kikakubalika. We kapuku jaribu kumfanyia hivyo mwanamke hata kama ni Mchumba wako uone cha moto! Utakula kibao na kesho unaweza ukajikuta ukiamkia Segerea, habari ndio hiyo.
 
inaelekea binti kafurahi ndio sababu katulia tu!! ingekuwa ni kaka yangu kafanya hivyo!! nisingeona kama kuna ubaya maana wifi karidhia!!
 
Back
Top Bottom