Recent content by Hamisi Maulid

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Lugoba high school

    We njoo utaijua ukifika huku. Namna ilivyo ndo nn?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Nipo hapa ila Nina cheti feki bado cjajua hatma yangu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

    Kwa taarifa yako siasa chaff za nchi kwa kias kikubwa zinatokana na siasa chaff za vyao vikuu na kinayume chake. Usishangae hayo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Timetable ya kujisomea

    1. Idadi ya masomo 2. Vipaumbele (priority) ktk masomo yako 3. Mda ulionao /unaotaka kuupangia ratiba. Hakikisha ratiba binafs unaipangia mda wako wa ziada (free time) kuepuka collision
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanian beggars arrested in Nakuru

    Africa is poor and of course will be. Wenzetu walioendelea wanapeana challenge na kushikana mikono kusonga mbele. So the poor Africans have time to show each other who is poorer. Shame on us [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kuhusu hili la kupeleka confirmation letter

    Kurudi kazini bila maelezo ulikua wp wakati wanakukosa sua haitasaidia. Ni bora kujisalimisha tamisemi ukiwa na uthibitisho toka Ifm, ujieleze wanaweza kukuelewa. Wasipokuelewa km uko vzr kiuchumi ni bora umalizie masomo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Website opening, operating and costs

    Thanks
  8. H

    JamiiForums Tanzania Website opening, operating and costs

    Shukran
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    it sounds great [color]
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa walimu tarajali wa sayansi na hisabati

    Kwao wao danadana ndio furaha yao, inahitaji ujasiri wa hali ya juu kudang'anya watu wazima tena waliosoma
  11. H

    JamiiForums Tanzania Website opening, operating and costs

    Wadau naombeni mwenye uzoefu wa namna ya kufungua, kuendesha na gharama za website anipati. Stay blessed.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji baba watoto

    [emoji39] [emoji39] [emoji39]
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole Dada, ila nlichoshangaa ni umri unaotaja bado hauendani na kukata tamaa. Naamini ukifanya utafit ktk jamii zetu wapo wenye 30 au zaidi na hawajaolewa. Cha msingi epuka kulinganisha maisha yako na ya wengine sio tu ktk ndoa namengine. Kwa wengine we ishia tu kujifunza kwa changamoto...
Back
Top Bottom