Nahitaji baba watoto

Nahitaji baba watoto

Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
 
Vigezo hivyo,akipatikana anafanyiwa interview. Tatizo dada zetu hamtaki waume mnataka wajasiliamali, maana ndio kigezo common
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom