Naitwa mwl George Temu nafundisha mathematics ktk secondary moja hapa mjini Moshi.
Mwaka 2015 nilipewa ruhusa kwenda masomoni SUA (bachelor of mathematics and informatics), lakini nyuma ya pazia nilipata admission ya accountancy mwaka 2014 chuo cha IFM nikaahirisha, nilipopata ruhusa 2015 nikaenda kuendelea IFM na sasahivi nipo second year.
Sasa kazini wamenitaka nipeleke confirmation letter ya SUA coz wamegundua sipo SUA, naombeni ushauri wenu nifanyeje jamani niache chuo nirudi kazini au nifanyeje?
NB: Sina boom mshahara wangu ndo ada yangu na matumizi yangu.
Naomba kuwasirisha.