Timetable ya kujisomea

jofujulius09

Senior Member
Mar 9, 2017
105
50
Habari JF mimi ni mwanafunz wa chuo. Level ya diploma. Nilikuwa naomba msaada namna ya kuandaa ratiba ya kujisomea. Kwa wale wataalamu ni vigezo vipi ambavyo natakiwa kuvifuata pindi ninapo andaa individual timetable.

Msaada tafadhalini.
 
1. Idadi ya masomo
2. Vipaumbele (priority) ktk masomo yako
3. Mda ulionao /unaotaka kuupangia ratiba.
Hakikisha ratiba binafs unaipangia mda wako wa ziada (free time) kuepuka collision
 
Back
Top Bottom