Naomba kufahamishwa kuhusu Lugoba high school

Shule ipo mkoanu pwani njiani na barabara ya kuelekea moshi/arusha/tanga kutoka dar ni mixture ila jiandae kisaikolojia kusoma na girls maana wana changamoto sana ila usisahau kutumia kondom..dogo.., maana mengi utayajua huko huko...ila kama una chukua kombi yenye chemistry aseeee usi msahau NGAIZA na vi pamphlet vyake ...vikumbatie kama mchanga wa dhahabu




Ni hayo tuuu
 
Back
Top Bottom