Recent content by Hamadi Mmari

  1. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye speed kubwa zaidi ya internet Afrika

    Halafu wanatuambia 'rudi nyumbani kumenoga'. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Kubadili jina la account ya JF

    Habari za muda huu wana JF, Naombeni msaada kidogo. Nahitaji kubadili jina la account yangu ila nimejaribu kupitia settings zote nimekosa. Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za Lissu kuhusu ruzuku ya Chadema

    Mimi nasubiria 2020 kama upinzani utakuwa umekufa au umekuwa strong...I'm tired with these politics drama.
  4. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa DNA ni kiasi gani?

    Upimaji wa DNA ni bei gani kwa hapa nchini kwetu na njia zipi za kufuta ili kupima DNA?
  5. Hamadi Mmari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye kucha ndefu ndiyo wanaongoza kwa kuwa na uke mchafu

    Umagharibi unawaharibu wadada wetu wa kiafrika...ukifuga kucha ndefu hakikisha unaajiri mtu wa kukusafisha tupu...
  6. Hamadi Mmari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Kwa kweli serikali inapaswa ingilie kati hili jambo! Teh teh teh teh
  7. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa majina ya wanaJF

    Hivi sijaelewa, kila member wa JF ninae muona humu ndani anatumia jina ambalo si halisi, sasa sijui ni ni terms and conditions za JF kuchit? Nawasilisha hoja...
  8. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Mgeni: Hodiii

    Hapa ndio JF? Naomba kukaribishwa, ingawa nilianza kwa kucoment posts za wanaJF! Habarini za muda huu wanaJF?
  9. Hamadi Mmari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

    Ha ha ha ha
  10. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''utanipendaga'' ni dongo kwa Lowasa?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umetisha bro
  11. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Makonda: Walimu kusafiri bure

    Solution ni kuwaongezea mshahara tu na kulipa malimbikizo yao...hizo zingine ni kelele tu...au mazingaombwe
  12. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Kidato cha Tano na Sita kusoma BURE Kigoma

    Hii ndio mifano ya kuigwa...Tanzania inajengwa na watanzania wenyewe, na kubomolewa na watanzania wenyewe
  13. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania TMF iko tayari kulipia matangazo ya Bunge TBC

    KILIO cha ukosefu wa fedha za kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge la Tanzania kupitia Shirika la Utangazaji nchini (TBC) ambacho kimekuwa kikitolewa na serikali, sasa kimepata ufumbuzi, anaandika Josephat Isango. "Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF) umeeleza kwamba upo tayari kutoa...
  14. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Dawa ya wachepukaji hiyo

    Huyo daktari anataka kuiua hospital yake, atakosa wateja...ye anataka pesa ama anataka kujua mwenye mtoto?
  15. Hamadi Mmari

    JamiiForums Tanzania Dah! Huyu dogo ndie alietungua helicopter ya mlinzi wa tembo wetu

    Hao hao wazungu ndio wanao tuibia wanyama wetu, kutumia ushawishi wa fedha...Africa italindwa na waafrika wenyewe, halikadharika Tanzania pia tutailinda wenyewe.
Back
Top Bottom